• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAONESHO YA KAPU LA MAZAO LISHE KUELEKEA SIKU YA CHAKULA DUNIANI YAADHIMISHWA UBUNGO

Posted on: October 14th, 2021

Kupitia wiki ya Maadhimisho ya chakula Duniani ambayo kilele chake huwa ni tarehe 16,oktoba Kila mwaka  Manispaa ya Ubungo imeshirikiana na Taasisi ya IITA( International Institute of Tropical Agriculture) kuadhimisha Kiwilaya kwa kufanya maonesho  ya Kapu la Mazao Lishe   katika Kituo Cha Mafunzo Cha  vijana  Kibamba Youth agripreneur kilichopo Kibamba Mtaa wa Kibwegere  kinachojishughulisha na uzalishaji wa nafaka,mbogamboga pamoja na ufugaji 

Maonesho  hayo yamefanyika leo tarehe 14.10.2021  yameenda sambamba na Kauli mbiu ya *Kilimo kwa Uwakika wa Chakula na Lishe Bora* ambapo imehusisha  vikundi mbalimbali vinavyojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa zitokanazo na nafaka Kama mihogo,Viazi,Mchicha n.k

Akifungua hafla hiyo Dk.Eliza Mshote Afisa kilimo Mkoa amewasisitiza Wakulima hao kujihusisha na Kilimo chenye tija na kuhakikisha wanatumia Kilimo Kama biashara ilikuwaongezea kipato 

"Kilimo kinamanufaa makubwa nawasisitiza kuekeza nguvu kubwa Katika kilimo chenye   manufaa" alieleza Mshote

Alikadhalika Mkuu wa Idara ya  kilimo,umwagiliaji na Ushirika Manispaa ya Ubungo  Happiness Mbelle  amewasisitiza Wakulima kuendelea kujisajiri  katika Mfumo wa  M- KILIMO ( Mobile Kilimo) na kuendelea   kutumia Lishe bora iliwaweze kuzalisha kwa tija

Nae Mratibu wa vijana katika Kilimo Biashara( IITA) Veronica Kebwe amewahasa wakulima Kutumia kapu la Mazao ya lishe kwa manufaa yatakayoleta   maendeleo kwani kilimo kinamanufaa makubwa hasa vijana watumie fursa hiyo kwaajili ya  kukuza uchumi 

Sambamba na hayo Otaigo Elisha mwenyekiti wa kikundi Cha youth agripreneur chenye vijana saba ameishukuru Manispaa ya Ubungo kwa kuwezeshaji wa mkopo, pia Idara ya kilimo kwa huduma ya ugani na wadau mbalimbali ikiwemo Taasisi ya IITA,TARI MIKOCHENI kwa mafunzo na tafiti mbalimbali






Attachments area




Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa