• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAZOEZI MWAROBAINI WA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Posted on: October 30th, 2021

Kuelekea siku ya Maadhimisho ya magonjwa yasiyoambukiza, Manispaa ya Ubungo kwa kushirikiana na vikundi Mbalimbali vya jogging katika Manispaa hiyo, imefanya mazoezi ya kukimbia (jogging) lengo ikiwa ni kuhamasisha jamii kufanya mazoezi kama njia bora ya kuepuka magonjwa hayo.

Mazoezi hayo yaliyoongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo ndugu James Mkumbo yalianzia Hospitali ya Wilaya iliyopo Kimara Baruti hadi Daraja la Kijazi ( kijazi Interchange)

Akiongea baada ya mazoezi hayo, Mkumbo aliwaeleza wananchi kuwa mazoezi ni afya hivyo kila mtu anapaswa kufanya ili kuimarisha afya yake na hivyo kuepuka magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya akili,figo, pumu, saratani na magonjwa ya moyo.

“Mazoezi ni afya ni vema tukajenga utaratibu wa kufanya mazoezi ili kuweka miili yetu kuwa imara na hivyo kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ambayo yanasababiswa na ulaji usiozingatia lishe bora na kutofanya mazoezi” alieleza Mkumbo.

Kwa upande wake Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Kimara Ismail Mvungi  alisema aliamua kuvishirikisha  vikundi vya jogging kushiriki mazoezi hayo na  kuwaeleza wananchi wa Kimara na  Ubungo juu ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya inayotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni hivyo ni vyema kuandaa mazingira mazuri ya hospitali hiyo ambapo wananchi waliojitokeza kwenye mazoezi hayo walishiriki kupanda miti kwa ajili ya kutunza mazingira na kuchangia damu chupa 24 ikiwa ni maandalizi ya ufunguzi wa Hospitali hiyo

Mheshimiwa Diwani wa kata ya kimara Ismail Mvungi  akichangiaji damu leo oktoba 30,2021 katika hospitali ya Wilaya

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mansipaa ya Ubungo Dr. Peter Nsanya amesema kuwa wananchi wamehamasishwa na kuchanja kwa hiari chanjo ya UVIKO 19 kwa ajili ya kujikinga na ugonjwa huo.

Akiongea kwa niaba ya vikundi vya jogging vilivyoshirki katika mazoezi hayo, Mustapha Hamisi ameipongeza serikali kwa kuwashirikisha katika kuhamasisha wananchi kufanya mazoezi lakini pia kushiriki katika kuchangia damu ikiwa ni maandalizi ya kuifungua hospitali ya Wilaya ambayo ilisubiriwa kwa muda mrefu.

Hamisi amesema “Nawasii wananchi hususani vijana kujiunga na vikundi vya jogging vilivyopo kwenye maeneo yao kwa ajili ya kuimarisha afya za miili yao hali itakayowasaidia kutopata magonjwa yanayosababishwa na unene uliopita kiasi”.

Maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza yataanza tarehe 6 hadi 12 ya mwezi novemba ambapo Manispaa ya Ubungo itaadhimisha kilele cha siku hiyo tarehe 12 novemba, 2021.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa