• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MBUNGE WA UBUNGO AWAKUMBUKA WAKINA MAMA NA WATU WENYE ULEMAVU

Posted on: November 20th, 2021

Mbunge wa Jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Kitila Mkumbo amewawezesha watu wenye ulemavu na Wakina mama Vifaa kwaajili ya shughuli za kujikimu  kiuchumi na kuboresha mazingira ya kuishi kwa watu wenye ulemavu

Katika hafla hiyo  ametoa  baskeri za miguu mitatu 10 kwa watu wenye ulemavu ,mashine za kushonea ( cherehani)  15 kwaajili ya vikundi vya wanawake, magongo 60 kwa watu wenye ulemavu na fimbo nyeupe 60 kwaajili ya wasioona.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 20/11/2021 Kitila amekikabidhi kikundi cha wanawake wajasiriamali wa kata ya makurumla kiitwacho kagera mshikamano group cherahani 5, kata ya  manzese kikundi Cha wajasiriamali kiitwacho freedom cherehani 5, kata ya mburahati  kikundi Cha wajasiriamali kiitwacho kitunzi cherehani 3 na kikundi cha wajasiriamali  kiitwacho lugha moja cherehani 2.

Aidha Kitila alisema kuwa  kuhakikisha kuwa Serikali inakua karibu na wanachi wake tumeendelea kuhakikisha watu wenye ulemavu wanapata mahitaji yao, na Mimi Kama Mbunge wa Jimbo hili la ubungo nitahakikisha natekeleza Yale yote ambayo niliyaaidi kwa wananchi wangu.

Aliendelea kwa kuwashukuru na kuwapongeza Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo  kwa jitihada zao katika kuhakikisha Wilaya ya Ubungo inaenda vizuri

Nae Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James amesema kuwa  amefurahishwa na msaada huo kwa wahitaji hao na ni vyema kuwasaidia ili kuonyesha umuhimu wao katika Jamii zetu

Watu wenye ulemavu ni watu muhimu na Wana nafasi kubwa katika Jamii, tuendelea kuwasaidia na kuwajali na kuwapa haki sawa na wengine.

Alikadhalika Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo  Beatrice Dominic alieleza  Halmashauri imetenga asilimia 2% ya mapato yake kwaaajili ya kuwasaidia watu wenye ulemavu  kujikimu kiuchumi

Mwakilishi wa watu wasioona Wilaya ya Ubungo  mwenyekiti wa walemavu wa viungo wamemshukuru Mheshimiwa Mbunge kwa misaada waliyopata.

Manispaa ya Ubungo ina jumla ya walemavu 1,287,  ambapo wenye ulemavu wa viungo 601, Ualbino 183,wasioona 130,Viziwi 233,wenye ulemavu wa akili 140


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa