• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MCHONGO NI AFYA YAKO,ZINGATIA UNACHOKULA

Posted on: October 30th, 2024

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA

MCHONGO NI AFYA YAKO,ZINGATIA UNACHOKULA

Hiyo ni Kauli mbiu ya Lishe kitaifa ambapo  tarehe 30 oktoba, 2024 Manispaa ya Ubungo imeadhimisha siku hiyo muhimu katika uwanja wa shule ya msingi Makuburi kwa kutoa elimu ya masuala ya lishe, tathimini ya hali ya lishe na uchunguzi wa magonjwa yasiyoambukiza kwa jamii.

Akisoma taarifa Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile amesema kuwa, lengo la maadhimisho hayo ni kutoa elimu ya lishe kwa jamii kwa kuzingatia mapendekezo ya mwongozo wa kitaifa wa chakula na ulaji ili kuondoa dhana potofu na mitazamo hasi iliyopo inayohusu ulaji na ulishaji watoto katika jamii zetu

Aliendelea kusema kuwa, malengo mahususi pia ni Kuhamasisha jamii kuzingatia ulaji wa makundi sahihi ya vyakula, kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kufanya mazoezi ili kujenga mwili, kuunganisha jamii na wadau katika jitihada za kuendeleza na kuimarisha afya

Aidha, Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ambaye pia ni diwani wa Kata ya Makuburi Mheshimiwa Quirine Shirima ameishukuru Manispaa kwa kuchagua kata hiyo ili kufanyia maadhimisho hayo ambayo yameenda kutoa elimu kwa wakazi hao na kupata huduma ya matibabu bure

Shirima aliendelea kuwasisitiza wakazi wa Makuburi kuzingatia siku hiyo muhimu ambayo imelenga pia kupunguza utapia mlo kwa watoto wenye kinga hafifu na kuboresha afya ya jamii kwa ujumla na kutoa huduma za upimaji bure

Nae, Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt.Tulitweni Mwinuka amemshukuru mgeni rasmi kwa ujio wake katika maadhimisho hayo yaliyolenga kusaidia jamii kupata uelewa wa masuala ya lishe pamoja na upimaji wa afya bure.

Sambamba na hayo katika maadhimisho hayo kumekuwa na elimu ya masuala mbalimbali ya afya na kuwajengea uwezo wananchi kuelewa namna ya  kujiunga na bima ya ICHF ambayo ina gharama nafuu na  wananchi wamehamasisha kukata bima hiyo ili kurahisisha kupata matibabu ambapo Kaya ya watu isiyopungua watu sita ni shilingi 150,000/= na mtu mmoja shilingi 40,000/=

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa