• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MD UBUNGO AFURAHISHWA NA USHINDI WA TIMU YA NETBALL UBUNGO MC

Posted on: October 22nd, 2023

“Nimefurahishwa sana kwa ushindi huu mlioupata leo kwenye mechi hii mliyoicheza leo katika mashindano haya sambamba na ile ya jana ninawapongeza sana”

Kauli hiyo imetolewa l tarehe 22/10/2023 na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Elias Ntiruhungwa alipotembelea timu ya mpira wa pete ya Manispaa hiyo inayoshiriki mashindano yanayoendelea Mkoani Dodoma ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania ‘SHIMISEMITA’ yanayoenda sambamba na kauli mbiu isemayo “Imarisha afya na mahusiano kazini kwa maendeleo ya Taifa”

Ntiruhungwa ameitaka timu hiyo kuendelea kufanya vizuri kwenye mechi zote na hatimae kuwa washindi na hivyo kupeperusha bendera ya Manispaa hiyo kimichezo Nchini.

Nae Afisa Michezo wa Manispaa hiyo Wikansia Mwanga amesema amefurahishwa na matokeo ya mechi hizo na amewataka wachezaji wa timu hiyo kuendelea kuiheshimisha Manispaa hiyo na kuhakikisha ushindi unaendelea kunapatikana.

Akiongea kwa niaba ya wachezaji wa timu hiyo Kapteni wa timu hiyo Shinuna Mohamed ameahidi kuwa ushindi lazima utapatikana kwani wachezaji wote wapo imara na hakuna mechi ambayo timu hiyo itapoteza.

Katika Mashindano hayo tayari timu hiyo imeshacheza mechi mbili za makundi baina ya Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua na Ulanga na kushinda mechi zote mbili.

Aidha kwa upande mwingine Ntiruhungwa ameahidi kuhakikisha timu zote za Manispaa ya Ubungo zinashiriki vema mashindano hayo mwakani


Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo Elias Ntiruhungwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Netball Manispaa ya Ubungo katika mashindano yanayofanyika Dodoma

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa