• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MEWAKA DAY YAZINDULIWA UBUNGO, WALIMU WAPATIWA MAFUNZO YA MABADILIKO YA MTAALA KWA MASOMO YA SAYANSI NA KIINGEREZA

Posted on: March 2nd, 2024

Katika muendelezo wa maboresho ya Mtaala wa Elimu nchini Tanzania, Manispaa ya Ubungo imetekeleza mafunzo kwa walimu wa shule za msingi za Serikali na binafsi ili kuwajengea uwezo mzuri wa kuendana na mabadiliko hayo.

Hayo yamesemwa na Afisa Elimu ya Awali na Msingi Manispaa ya Ubungo ndugu Denis Nyoni wakati akifungua mafunzo hayo katika kituo cha mafunzo cha Kibamba TRC tarehe 1 Machi, 2024 kwa walimu washiriki kutoka shule mbalimbali za serikali na binafsi za Manispaa ya Ubungo

Mafunzo hayo yanatolewa chini ya programu ya MEWAKA (Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini) ambayo lengo lake kubwa ni kuwajengea walimu uwezo kwenye masomo wanayofundisha wakiwa katika vituo vyao vya kazi.

Mafunzo ya mtaala ulioboreshwa yanafanyika nchi nzima kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 1 - 2 Machi, 2024 ambapo kwa awamu hii walengwa wa mafunzo  ni walinu wa masomo ya Sayansi na Kiingereza wanaofundisha darasa la tatu mpaka darasa la sita

Akiongea katika mafunzo hayo mwezeshaji wa mafunzo Pendo Gadi amesema "Mafunzo haya yatakuwa chachu kubwa kwa walimu washiriki ambapo watapitishwa kwenye mabadiliko mbalimbali yaliyojitokeza kwenye mtaala wa elimu ulioboreshwa" alisema Gadi.

mafunzo hayo ya siku mbili kwa Manispaa ya Ubungo yanafanyika katika vituo vikuu vitatu vya mafunzo ambavyo ni kituo cha Kibamba TRC, Mbezi TRC pamoja na Ubungo Plaza TRC ambapo Serikali imetoa jumla ya shilingi 27,136,000/= kwa ajili ya kugharamia mafunzo hayo

Naye Mratibu wa mafunzo hayo Manispaa ya Ubungo mwalimu Flora Ulomi amewapongeza walimu wanaoshiriki huku akiwataka kuhakikisha wanashiriki vema mafunzo hayo ili wakawe mabalozi wazuri wa mabadiliko ya mtaala kwenye vituo vyao vya kazi na hatimaye matokeo chanya yaonekane kwa Manispaa ya Ubungo na Taifa kwa ujumla.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa