• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MIAKA 62 YA UHURU VIJANA ONGEZENI UWAJIBIKAJI

Posted on: December 9th, 2023

Ikiwa ni  tarehe 9 disemba 2023 watanzania  wakiadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Abdallah komba amewataka wanaubungo kutafakari maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kujenga Tanzania yenye maendeleo makubwa kwa miaka 62 ijayo.

Mhe. Komba ameyasema hayo wakati akihutubia wananchi walioshiriki kwenye kongamano la maadhimisho ya Uhuru katika Wilaya hiyo lililofanyika katika ukumbi wa shule sekondari mbezi high na kusema kuwa ili kizazi kijacho kiweze  kuona mafanikio ya Uhuru kwa miaka 62 ijayo ni lazima vijana wa leo kufanya tafakuri ya namna ya kuleta maendeleo kwa kuzingatia falsafa ya maridhiano, ustahimilivu, mageuzi katika uwajibikaji na ujenzi mpya wa nchi yetu kwani maendeleo tunayoyaona leo  ni matokeo ya juhudi za wazee wetu ambao walijitoa kwa hali na mali katika kujenga nchi baada ya Uhuru.


Mhe. Komba amesisitiza kuwa, Vijana wa zamani baada ya Uhuru walijitolea Muda wao, mali, nguvu na hata uhai kwa ajili ya kuijenga nchi na kufanikiwa kufikia maendeleo ya sasa hivyo ni jukumu letu vijana wa sasa kuwajibika ipasavyo katika kuijenga nchi yetu na kufikia maendeleo kwani msingi wa elimu bora na siasa safi upo.

"wakati tunafanya maadhimisho haya ya miaka 62 ya uhuru ni vema kujiuliza je, fedha za miradi ya maendeleo zinazotolewa na serikali na kusimamiwa na vijana wasomi ina ubora kama miradi ya zamani iliyosimamiwa na vijana ambao hawakuwa na elimu kubwa kama sasa? tubadilike na tutumie elimu zetu kwa manufaa ya taifa letu" alieleza Mhe. Komba

Baada ya uhuru serikali ilianza kupambana na maadui watatu yaani ujinga umasikini na maradhi, leo tunaadhimisha miaka 62 ya uhuru maadui hawa wamepigwa kwa kiwango kikubwa kwani uboreshaji mkubwa umefanyika katika sekta ya Elimu, Afya na uwezeshaji wananchi kiuchumi, hivyo jukumu letu la sasa ni kuendeleza juhudi hizi kwa kutoa huduma bora na kulinda amani na utulivu wa nchi yetu.

Aidha, Serikali imeelekeza sherehe hizi zifanyike kwa njia ya makongamano ili kutoa fursa ya kujadili dhana ya uhuru na kuwapa vijana wa leo nafasi ya kutafakari mafanikio yaliyofikiwa na nchi yetu kwa miaka 62 ya uhuru


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa