• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MICHEZO NI AFYA,MIPIRA 250 YATOLEWA KWA SHULE ZA MSINGI

Posted on: March 21st, 2024

Manispaa ya ubungo kupitia Kitengo cha utamaduni sanaa na michezo  machi 21,2024 kimetoa mipira 250 kwa shule za msingi lengo likiwa ni kuibua na kuendeleza  vipaji vya wanafunzi katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu

Akitoa taarifa ya ujio wa mipira hiyo, Kaimu Mkuu wa kitengo hicho Kassimu Semfuko amesema mipira hiyo imetolewa na shirikisho la Mpira wa miguu duniani FIFA kwa kushirikiana na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kupitia mpango wa kuibua na kuendeleza vipaji vya mpira wa miguu kwa waanafunzi wenye umri wa miaka 10 hadi 13.

Mpango huu ujulikanao kama "Football for Schools" ambao unatekelezwa katika Wilaya zote za Mkoa wa Dar es salaam ambapo kwa Wilaya ya Ubungo shule 25 zimenufaika na mpango huo wa kuibua na kuendeleza vipaji kwa watoto wa umri mdogo kwani ni vema samaki kumkunja angali mbichi.

Akiongea wakati wa kugawa mipira hiyo Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo  Hassan Mkwawa amesema kuwa lengo la Serikali na vyama vya michezo ni kuendeleza vipaji kuanzia ngazi ya chini kwa ajili kukuza mpira wa miguu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

Aidha, Mkwawa amesema msaada wa mipira hii sio tu utaongeza ari ya wanafunzi kupenda michezo lakini pia ni fursa nzuri kwa Manispaa kuwaanda vizuri wanafunzi katika mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA ambayo ni sehemu muhimu ya kutambua viapaji vya wanafunzi hususani mchezo wa mpira wa miguu

Aidha, Mkwawa amesema ili malengo ya mpango huo yaweze kufanikiwa "niwaombe Walimu Wakuu muitunze mipira hii ili itumike muda mrefu lakini pia wanafunzi wawe na kifaa hiki mhimu  kwa  mchezo wa mpira wa miguu"

Nae Afisa michezo wa Manispaa hiyo Wikansia Mwanga ameahidi kuzisimamia shule zinazonufaika na mpango huo kwa kuanzisha ligi kwenye shule hizo kwani jambo ambalo litasaidia kuwaandaa watoto kwenye mashindano mbalimbali.

Akiongea kwa niaba ya walimu wakuu, Bi Rehema Ramole Mwlimu Mkuu shule ya msingi Makuburi Jeshini ameshukuru serikali kwa msaada wa mipira hiyo kwaninitaongeza morali kwa watoto kupenda michezo kwani mipira iliyopo ilikuwa michakavu sana.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa