• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Mila na desturi zinazofaa ziendelezwe

Posted on: December 20th, 2021

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ( Idara kuu ya Maendeleo ya jamii) Dkt John Jingu ameelekeza wataalamu kwa shirikiana na jamii waibue na kuendeleza mila na desturi zinazofaa kwani ndizo zinatoa mwongozo wa namna jamii inatakiwa kuenenda.   

Dkt Jingu alitoa maelekezo hayo disemba 20, 2021 kwenye kikao kazi kilichohusisha Maafisa Ustawi na maendeleo ya jamii, viongozi wa dini, wazee maarufu, asas za kiraia kilicholenga kujadili na kuchambua mila na desturi zinazofaa katika jamii na kuziwekea mikakati ikiwa ni pamoja na kuziondoa mila zisizofaa. 

Aidha, Dkt Jingu ameeleza kuwa Mila na desturi zetu ndizo zinazotupa njia na matarajio ya namna gani jamii inapaswa kuenenda lakini pia amesema mila na desturi zetu zinabadilika kutokana na mazingira mbalimbali, utandawazi, mabadiliko ya kisiasa, majanga hivyo mila na desturi za zamani haziwezi kuwa sawa na za sasa.

Pia, amesisitiza kuacha mila na desturi zisizofaa kwa badala yake ziendelezwe zile zinazofaa katika jamiii ili kulinda haki wajamii hususani wanawake na watoto ambao wamekuwa ni wahanga wa mila hizo.

Aidha kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka wizara hiyo ndugu Dolitha Masanja alisisitiza kuwa kila mshiriki akawe Balozi mzuri wa kuelimisha jamii juu kuachana mila na desturi kandamizi ilikuwa na jamii yenye haki na usawa. 

 Aidha, katika kikao hicho imeelezwa kuwa, Watoto wanahitaji kusikilizwa katika familia na jamii kwa ujumla, Vijana wahusishwe kwenye semina mbalimbali, kuwatambua wageni wote wanaokuja katika jamii zetu, kutoa elimu sawa kwa watoto wakike na wakiume, nyimbo zetu za asili ziendelee kuenziwa, kutumia vyombo vya habari vizuri katika kuhakikisha elimu ya mila na desturi inawafikia watu wote katika jamii, shuleni kuwe na mitaala ya maswala ya mila na desturi.












ReplyForward






Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa