• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

Posted on: June 5th, 2025

Juni 5, 2025 Mwenge wa uhuru umepitisha kwa kishindo miradi yote 7 ya maendeleo  yenye thamani ya shilingi bilioni 8.2  baada ya kukagua, kutembelea, kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi hiyo kutoka Sekta za Elimu, Afya, Maendeleo ya Jamii, Barabara na Maji.

Akipongeza baada ya  kutembelea, kukagua, kuweka mawe ya msingi na miradi yote kupita kwa kishindo Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka  2025  Bwn. Ismail Ali Ussi amesema kuwa, amefurahishwa na utekelezaji mzuri wa miradi hiyo uliyozingatia thamani ya Fedha na ubora na kutaka maendeleo hayo yaendelee kwa ajili ya wanaubungo na  wananchi kwa ujumla

Mbio za mwenge 2025 zimetembelea mradi wa Barabara ya Kibwegere - Mpiji Magohe, Mradi wa pampu ya kusukuma maji DAWASA mji mpya uliopo Kwembe, kukagua Mradi wa Matumizi ya Nishati safi uliopo Shule ya wasichana ya Dar Es Salaam, Mradi wa ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa na matundu 8 ya vyoo

Pia umetembelea na kukagua mradi wa vijana wa kutengeneza fenicha uliopo Sinza, kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la upasuaji wodi ya wazazi katika kituo cha afya Makurumla na kukagua usafi wa soko la Mabibo (ukaguzi wa usafi katika masoko)

Bw. Ismail Ussi pia amewahamasisha wananchi wenye Sifa wajitokeze kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuchagua kiongozi Bora kwa maendeleo ya Taifa.

Vilevile, Mwenge wa uhuru 2025 umeenda sambamba na kauli mbiu isemayo "Jitokeze kushiriki uchaguzi Mkuu 2025 kwa Amani na Utulivu"

Aidha, wananchi wote mnaendelea kukaribishwa katika  mwenge wa uhuru unaokesha katika uwanja wa Shule ya msingi Makuburi na  shamrashamra zinaendelea  na  burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo Hamonize ,Dullah makabila na wengine wengi.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa