• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MKURUGENZI MANISPAA YA UBUNGO AWATAKA WATAALAM KUONGEZA KASI YA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: November 10th, 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa  Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic leo tarehe 10 Novemba, 2020,  amefanya ukaguzi wa miradi  mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Manispaa hiyo  yenye thamani ya zaidi ya shilingi  bilioni 9.7  lengo ikiwa  ni kujiridhisha na hali ya utekelezaji wa miradi hiyo.

Mradi wa ujenzi wa Jengo la utawala Manispaa ya Ubungo ukiwa kwenye hatua za umaliziaji

Beatrice amefanya ukaguzi huo akiwa na wakuu wa idara wa Manispaa hiyo na kuwaeleza  watalaam hao kuwa Hali ya utekelezaji wa miradi bado hairidhishi hivyo waongeze kasi ya usimamizi ili miradi hiyo iweze kukamilika Kwa wakati.


"Nadhani mnafahamu kuwa kila mradi una muda maalum wa kukamilisha, kutokamilisha Kwa wakati tunaenda kinyume na maagizo ya Serikali, nawagiza muongeze kasi ya usimamizi" alisisitiza Beatrice


Beatrice amefafanua kuwa , miradi hiyo inatekelezwa Kwa fedha za kutoka Serikali kuu na fedha za mapato ya ndani hivyo ni lazima ikamilike Kwa wakati ili kuboresha  huduma kwa wananchi  ambayo ndio adhima ya Serikali ya awamu tano

Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya wilaya ukiwa kwenye hatua ya upauaji

Aidha, Beatrice ameendelea kueleza kuwa, mradi wa ujenzi wa standi ya daladala  Mloganzira pamoja na kuwasaidia wananchi wanaotumia hospitali ya Mloganzira lakini pia ni chanzo cha mapato Kwa Manispaa, hivyo ni muhimu kuikamilisha kwa wakati ili ianze kutumika.


Akiongea kwa niaba ya watalaam wa Manispaa hiyo warioshirizi ukaguzi wa miradi,  Mhandisi wa Ujenzi wa Manispaa hiyo  ndugu Juma S Magotto ameahidi kuongeza kasi ya usimamizi wa miradi hiyo ikiwemo kuzingatia ubora wa majengo hayo.


Miradi iliyotembelewa ni ya sekta za  Elimu , Afya na Utawala  ikiwemo  ujenzi wa stendi ya daladala Mloganzila, Ujenzi wa Jengo la utawala na Ujenzi wa hospitali ya Wilaya, ujenzi wa  hospitali Sinza, ujenzi wa vyumba vya madarasa 8, vyoo matundu 10, ujenzi wa hosteli shule ya Sekondari Goba pamoja na ujenzi wa mabanda ya soko la wajasiriamali wadogo mbezi.

Mradi wa ujenzi wa standi ya Daladala Mloganzira

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa