• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MKURUGENZI UBUNGO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: March 4th, 2024

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Elias Runeye Ntiruhungwa ametoa siku saba kwa mkandarasi anayejenga mabanda ya wafanyabiashara katika soko la Mabibo kukamilisha ujenzi wa mabanda hayo kwani muda wa nyongeza aliopewa  kukamilisha kazi hiyo umekwisha.

Ntiruhungwa ametoa agizo hilo tarehe 04/03/2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Manispaa hiyo, ikiwemo mradi wa uboreshaji soko la mabibo,  ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, ujenzi wa fremu za biashara Manzese na mwendelezo wa ujenzi wa miundombinu Shule ya wasichana ya Mkoa wa Dar es salaam (Shule ya Sekondari ya wasichana Dar es salaam)

Akiongea wakati wa ukaguzi wa miradi hiyo Ntiruhungwa amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa mabanda ya wajasiriamali katika soko la mabibo ulipaswa kuwa umekamilika hivyo mkandarasi "nakupa siku saba tu ujenzi huu uwe umekamilika ili wafanyabiashara waondokane na adha ya jua na mvua pindi wanapofanya biashara zao"

"Ikifika  jumatatu ya tarehe 11 machi mwaka huu hujamaliza kazi mradi huu nakufukuza kwenye mradi kwani kazi itakuwa imekushinda" alisisitiza Ntiruhungwa.

Uboreshaji wa soko la mabibo unagharimu kiasi cha shilingi milioni 600 ambapo ujenzi wa mifereji, barabara yenye urefu wa mita 500, ujenzi wa banda 1 umekamilika huku mabanda 2 yakiendelea na ujenzi.

Aidha, Ntiruhungwa amwagiza Kaimu Mkuu wa kitengo cha Ununuzi na ugavi kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa vifaa kwa ajili ya kumalizia kazi kwenye mradi wa ujenzi wa shule ya wasichana ya  Mkoa wa Dar es salaam.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa