• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MKURUGENZI WA IDARA YA AFYA TAMISEMI AIPONGEZA MANISPAA YA UBUNGO

Posted on: January 9th, 2021

Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe TAMISEMI Dkt. Paul Chawote  ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa ujenzi  wenye viwango  wa hospitali ya Wilaya na kuwasisitiza kumaliza mradi   huo Kwa wakati  

Dkt. Chawote ametoa pongezi hizo wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa hospitali hiyo inayojengwa kata ya kimara mtaa wa baruti leo januari 9, 2020 na kueleza kuwa ziara hiyo inalenga kuona utekelezaji wa shughuli mbalimbali za afya ikiwemo ujenzi miundombinu.

"Kwa mujibu wa taarifa, mradi huu ulipaswa kukamilika mwezi desemba 2020, tumieni vizuri muda wa nyongeza mliopewa kukamilisha mradi  ili wananchi waanze kupata huduma kwani hilo ndilo lengo la serikali" amesisitiza Dkt Chawote

Pamoja na kujenga kwa ubora stahiki kwa maana ya thamani ya fedha lakini pia zingatieni marekebisho niliyowaelekeza Kwani ni ya msingi Kwa majengo ya Hospitali ameagiza Dkt  Chawote.

Mkurugenzi msaidizi idara ya afya, ustawi wa jamii na lishe Dkt Paul Chawote (aliyenyoosha mkono) akitoa maelekezo kwa uongozi wa Manispaa ya Ubungo na mjenzi wa mradi wa hospitali leo januari 5,2021 alipotembelea mradi huo.

 Nae  Mkurugenzi wa Manispaa Ubungo Beatrice Dominic ameahidi kuongeza kasi ili mradi ukamilike kwa wakati na uanze kutumika

"Mradi umechelewa kidogo kutokana na changamoto ya upatikanaji wa vifaa vya Ujenzi hususani Mabati na sementi lakini kwa sasa changamoto hizo zimetatuliwa " ameeleza Beatrice

Beatrice ameendelea kueleza kuwa , Utekelezaji wa Mradi Kwa sasa upo asilimia 60 Ila tunategemea asilimia ya kutekelezaji itaongezeka kwani kasi ya ujenzi ni kubwa kwa sasa.

Mradi ulikadiriwa kutumia shilingi bilioni 1.82 kwa awamu ya kwanza ambapo jumla shilingi bilioni 1.5 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi 250 milioni ni mchango wa halmashauri katika mradi huo.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa