• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MKURUGENZI WA MANISPAA YA UBUNGO APOKEA DARASA MOJA KWA AJILI YA WATOTO WANAOSOMA MASOMO YA AWALI KUTOKA SHIRIKA LA OCODE

Posted on: March 12th, 2020

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo  Beatrice Dominic amepokea darasa moja kwa ajili ya watoto wanaosoma darasa la awali kutoka Shirika la OCODE (ORGANIZATION FOR COMMUNITY DEVELOPMENT) katika Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo kata ya Kibamba.

Shirika hilo la OCODE pia limetoa madawati 38 na viti vya walimu 13 yote hiyo ni kuisaidia Serikali kuletea maendeleo wananchi.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mkurugenzi wa Shirika hilo Ndg. Joseph Jackson alisema mradi huu ndio wa kwanza kwao kuzindua. *”Niseme wazi huwa hatuna desturi ya kuzindua miradi tunayoitoa kwa Halmashauri au wananchi na hii ni mara ya kwanza”* alisema Ndg. Jackson.

Aliongeza kuwa kwa sasa Shirika lina miradi minne katika kata tatu za Manispaa ya Ubungo ambazo ni Kibamba, Goba na Msigani katika maeneo ya Kibwegere, Kiluvya, Goba na Malamba Mawili. ”Nikutaarifu tu Mkurugenzi kuwa hadi sasa chumba cha darasa kama hiki tayari kimeanza kujengwa Goba.” aliongeza Mkurugenzi wa Shirika.

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo alimshukuru Mkurugenzi wa Shirika la OCODE na Shirika lote kwa ujumla kwa msaada wanoutoa katika kuhakikisha wanaisaidia Serikali kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi chini ya Mhe. Rais wa awamu ya tano Dr. John Joseph Magufuli.

”Nimefurahi kuona viongozi wa Chama wapo hapa kushuhudia utekelezaji wa Ilani, vile vile nafarijika sana kuona darasa hili lililojengwa na OCODE na nnaahidi kuendelea kushirikiana nao” aliongeza Mkurugenzi.

”Niombe tuendelee kushirikiana kuanzia ngazi za chini hasa kwenye kukusanya mapato ili hata hawa walimu wasio na ofisi tuweze kuwajengea. Si hilo tuu lakini Manispaa yetu imefaulisha watoto wengi kwenda kidato cha kwanza hivyo bado tuna upungufu wa madarasa na huwa tunaangalia hasa pale penye uhitaji mkubwa ndio tunatilia mkazo”.Alisisitiza Beatrice.

Nae Mwalimu Mkuu wa Kibwegere Charles Kulemba alilishukuru Shirika la OCODE kwa kuwajengea darasa lakini pia alimshukuru Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo  Beatrice Dominic  kwa kupeleka kiasi cha Shilingi Milioni 53 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa