• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI LA KUPITISHA BAJETI YA MWAKA 2020/2021 MANISPAA YA UBUNGO LAFANYIKA TAREHE 30/1/2020

Posted on: January 30th, 2020

Mkutano huo umefanyika  tarehe 30/1/2020 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya  uliopo Luguruni na kuongozwa na Meya wa Manispaa ya ubungo   Mhe. BONIFACE JACOB  pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya  Ubungo BEATRICE DOMINI Katika mkutano huo Baraza la Madiwani lilipitisha Bajeti ya mwaka 2020-2021 ambayo Manispaa ya Ubungo inategemea kukusanya/ kupokea fedha kiasi cha Tsh 104,644,876,344.86.00 kati ya fedha hizo Tsh 81,995,999,669.,86.00 ni ruzuku kutoka Serikali kuu,  Tsh 20,002,948,852.00 ni fedha za makusanyo ya ndani ya Halmashauri , Tsh 1,895,927,823,.00 ni fedha za wafadhili na Tsh 750,000,000.00 ni fedha za michango ya nguvu za wananchi. Makadilio ya bajeti ya mwaka 2020-2021 imeongezeka kwa kiasi cha Tsh. 22,791,778,974.86 sawa na asilimia 27.8 ukilinganisha na makadilio ya bajeti ya mwaka unaoendelea 2019-2020.

Aidha Makisio ya matumizi kwa bajeti ya mwaka 2020-2021 Halmshauri ya Manispaa ya Ubungo inatarajia kutumia Tsh 88,599,143,250.86 kwa matumizi ya kawaida  ya mishahara ambayo ni sawa na asiliimia 85   ya bajeti  na Tsh 16,045,816,960.00 ni fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ni sawa na asilimia 15 ya bajeti yote. Fedha hizo za Miradi ya maendeleo zinajumuisha kiasi cha Tsh. 8,516,769,314.00 Mapato ya ndani,  Tsh 4,883,119,823.00 Ruzuku za maendeleo kutoka Serikali kuu , Tsh.1,895,927,823.00 ni fedha za wadau wa maendeleo na 750,000,000.00 ni nguvu za wananchi.

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic ameshukuru kwa wageni waliokuja kwenye baraza hilo na  kushukuru  mapitisho ya bajeti iliyopitishwa na baraza la madiwani ya mwaka 2020/2021.

Mwisho Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo alihitimisha baraza hilo kwa kupongeza timu ya mejimenti na wajumbe wote wa kamati za kudumu wa Manispaa kwa kazi nzuri ya kuchambua makisio yote ya mapato na matumizi pamoja na miradi ya maendeleo  waliyoifanya kuanzia mwanzo wa uwaandaaji wa bajeti mpaka kukamilika.



Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa