• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO MHE. KISARE MAKORI AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA WENYEVITI WA MITAA NA WATENDAJI

Posted on: March 5th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori leo amefungua mafunzo (semina elekezi) kwa wenyeviti wa Serikali za mitaa na watendaji.

Mafunzo hayo yamefanyika kwenye ukumbi wa Little Flowers uliopo Mbezi na mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo  Mhe. Kisare Makori.

Wengine waliohudhuria mafunzo hayo ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya Ndg. Lucas Mgonja, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic, wataalam kutoka Manispaa ya Ubungo, kamati ya ulinzi ya Wilaya, viongozi wa Chama cha Mapinduzi, Wenyeviti wa Mitaa na watendaji wa mitaa 90 na wa kata 14 wa Wilaya ya Ubungo.

Wakati akifungua mafunzo hayo Mkuu wa Wilaya alisema mafunzo yatahusu usimamizi na uendeshaji wa shuguhuli za Mamlaka za Serikali za Mitaa.

"Ni matumaini yangu mafunzo haya yataambatana na utendaji wa kazi utakaokuwa na nidhamu, uwajibikaji ,uzalendo ambao  unafanana na utendaji kazi ambao  Raisi wetu wa awamu ya tano Dr. John Pombe Magufuli anauhitaji."* Alisema Mkuu wa Wilaya.

Sambamba na hilo Mkuu wa Wilaya aliwasisitiza wenyeviti wahakikishe wanafanya kazi kwa umakini na ukaribu na ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi  ili kukamilisha majukumu kwa pamoja.

Aidha Mhe. Mkuu wa Wilaya aliwaambia wenyeviti, watendaji kuwa ni imani yake kuwa baada ya semina watafanya kazi kwa uadilifu, bidii na moyo kuhakikisha Manispaa ya Ubungo inafanikiwa.

NB Semina hiyo elekezi ni ya siku mbili na inatarajia kuisha hapo kesho siku ya ijumaa tarehe 5/3/2020.








Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa