• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO MHE.KISARE MAKORI ATEMBELEA MTAA WA KINZUDI KATA YA GOBA

Posted on: March 14th, 2020

Mkuu wa wilaya ya ubungo Mhe.kisare Makori  atembelea wakazi waishio Mtaa wa  kinzudi  Kata ya Goba.  Aliongozana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo  Ndg. James Mkumbo, Afisa tarafa wa Kibamba Beatrice Mbawala, wataalam kutoka Dawasa na Tarura na wataalam kutoka Manispaa ya Ubungo.

Lengo la kuja katika eneo hili ni kwaajili ya kutatua mgogoro uliopo katika eneo hili  la hekta 8 linalojulikana kwa jina la (shamba la mzungu), naomba niseme eneo hili tayari umiliki wake umelejeshwa  mikononi mwa wananchi na sio vinginevyo. Alisema hayo Mkuu wa Wilaya

Aidha nipongeze pia kwa uongozi wa  Serikali ya Mitaa kwa kuitisha kikao katika eneo hili kwani tangia nije kwa mara ya kwanza wananchi wanaokaa eneo hili walinipokea na kuonyesha ni jinsi gani  walikuwa wakikerwa na aliyekuwa akisema ni mmiliki wa eneo hili na leo nimekuja  kutatua changamoto hiyo  inayowasumbua.

Naomba niseme kwamba  eneo hili  kuanzia sasa jina hilo linalotumika la ( shamba la Mzungu)  lifutwe kwani tayari eneo hili ni mali ya  umma na liko chini ya usimamizi wa Halmashauri yetu ya ubungoSerikali ya awamu ya tano iko vizuri na inahakikisha wananchi wake wanapata haki zao ipasavyo, chini ya uongozi wa JOHN POMBE MAGUFULI raisi wetu wa awamu ya tano naye anasimamia haki za kila mtanzania na kuhakikisha haki zinatolewa ipasavyo.

"Ilitufanye shughuli za maendeleo ni lazima kuhakikisha amani ya nchi hii tunaitunza, Pia tuhakikishe kila mmoja wetu anasimamia misingi sahihi ya utulivu na kuhakikisha analinda maendeleo ya nchi yetu"aliongezea Mkuu wa Wilaya

Pia naomba niseme kuhusu ugonjwa hatari wa corona ambao rais wetu alisema ,tujikinge na hili pia, tuchukue tahadhali ilituepukane na hili pia, tukichukua tahadhali mapema itasaidia na  tutaendelea na shuguli za maendeleo katika nchi yetu. Niwakumbushe pia kuhusu swala la bima ambalo linaweza kuwa msaada kwenu nyote mkakate bima za ICHF ili kupata wepesi  wakupa matibabu,na swala la mikopo pia afisa maendeleoya jamii atawapa muongozo ili vikundi mpate mikopo kwaajili ya ujasiliamali na mkawe kipaumbele kwenye kurudisha mikopo hiyo ili mnufaike zaidi,

Mwisho niwashukuru kwa ujio wenu katika eneo hili na niwahaidi kuwa nanyi katika kutatua changamoto yoyote kama Mkuu wenu wa Wilaya ya Ubungo.



Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa