• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MRADI WA UBORESHAJI USALAMA WA MILKI ZA ARDHI WATAMBULISHWA UBUNGO

Posted on: September 6th, 2023

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) inakusudia kupanga, kupima na kusajili hati za hakimiliki 28,000 mkoa wa Daressalaam

Hayo yameelezwa na Bi. Aisha Masanja mwezeshaji kutoka Wizara  hiyo  septemba 06, 2023  wakati akitambulisha mradi huo kwa timu ya menejimenti ya Manispaa hiyo

Masanja amesema kuwa kwa Manispaa ya Ubungo mradi utaanza kutekelezwa katika Mitaa mitano ukiwemo Mtaa wa Saranga, Mbezi Louis, Stopover, Kimara B na Kibwehele ambapo jumla ya hati miliki 3,419 zitatolewa kwa wananchi wa Mitaa hiyo.

“Manispaa ya Ubungo ni miongoni mwa Halmashauri chache Nchini zilizobahatika kutekeleza  mradi huu wenye tija  kwa jamii  kwani unalenga kuboresha usalama wa milki za ardhi kwa kupanga, kupima na kusajili hati za hakimilki pamoja na kupunguza gharama za upimaji" alisema Masanja

Ili kuhakikisha wananchi wanapata hati kwa wakati, Masanja ameeleza kuwa  kupitia mradi huu wananchi watafikiwa katika Mitaa yao na kuhakikisha mazoezi yote ya urasimishaji yaliyokuwa yameanza kupitia makampuni yanafika mwisho kwa watu kupata hati zao.

Akiongea wakati wa kufunga kikao hicho, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Elias Ntiruhungwa ameishukuru Serikali  kwa mradi huo ambao unatoa fursa kwa wananchi kupimiwa na kumilikishwa maeneo yao kwa muda mfupi jambo ambalo ni kiu ya  muda mrefu ya wananchi.

Aidha, Ntiruhungwa ameeleza kuwa upimaji na umilikishaji ardhi ni chanzo kikubwa cha mapato kwa Serikali hivyo ni mategemeo yake baada ya mradi huu kuisha maeneo yanayopitiwa na mradi yataanza kulipa kodi ya ardhi na hivyo kukuza uchumi wa Nchi.




Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa