• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MWENEZI MAKALLA AFANYA ZIARA UBUNGO ATEMBELEA JIMBO LA KIBAMBA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

Posted on: July 14th, 2024

Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa Ccm Taifa CPA Ndg. Amosi Makalla  amefanya ziara katika Wilaya ya Ubungo tarehe 14 julai, 2024 na kuanza na jimbo la kibamba kwa kutembelea katika miradi ya maendeleo ikiwemo mradi wa Shule ya wasichana ya Mkoa wa Dar es salaam iliyopo Kata ya kwembe  katika Mtaa wa Njeteni na kupongeza uongozi wa Manispaa ya Ubungo kwa kusimamia vizuri mradi huo uliojengwa kwa gharama zaidi ya shilingi bilioni 4 ambao kwa Sasa wanafunzi wanaendelea na masomo katika shule hiyo iliyoanzia kidato Cha kwanza mpaka Cha  kidato sita

Makalla ameendelea kuwataka wanafunzi wa Shule hiyo kuhakikisha wanasoma kwa bidii na kuzingatia maadili ili waweze kuendelea kuleta matokeo chanya na kutimiza malengo yao

"Mhe. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.  Samia Suluhu Hassan ameleta fedha katika kila Mkoa ili ujenzi wa Shule za Mkoa ziwepo lengo  ni kuleta maendeleo na watoto wa kike wanapata kipaumbele na Ubungo imebarikiwa Shule hii kujengwa katika Wilaya hii" amesema hayo Makalla

Na pia Makalla ametembelea mradi wa tanki la maji mshikamano  ambao umejengwa kwa gharama ya shilingi  bilioni 4.8 unaosambaza maji kwa jimbo zima la kibamba na kupongeza uongozi wa Dawasa kwa kuhakikisha kazi inafanyika na wananchi wa jimbo la kibamba wanapata maji na kumtaka waendelee kuzingatia na maeneo ambayo hayana maji ikiwemo msumi changamoto inatatuliwa.

Aidha, Makalla amefanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa Msigani na kutatua kero za wananchi 

Akishukuru kwa ujio wa kiongozi huyo Mwenyekiti wa chama Wilaya ya Ubungo Rogati Mbowe  amemshukuru mwenezi Makalla  kwa kuja Ubungo na  kusikiliza kero za Wana kibamba na kutatua changamoto zao

Makalla anafanya ziara Wilaya Ubungo kwa siku mbili ambapo jana ametembelea jimbo la kibamba na leo tarehe 15 julai, 2024 atafanya ziara jimbo la Ubungo na kufanya mkutano katika viwanja vya Tp Sinza.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa