• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

NAIBU WAZIRI WA MAJI ATEMBELEA MIRADI YA MAJI - UBUNGO

Posted on: August 20th, 2023

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi leo Agosti 20, 2023 ametembelea miradi ya Maji iliyopo Manispaa ya Ubungo, miradi hiyo iliyotembelewa ni pamoja na Tanki la Maji lililopo mtaa wa Mshikamano kata ya Mbezi lenye ujazo wa lita milioni sita na kituo cha kusukuma maji kilichopo Mbezi inn.

Katika ziara hiyo Naibu waziri Mahundi amepokelewa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Hashim Komba, akimpokea naibu waziri huyo Mhe. Komba amepongeza jitihada zinazofanywa na wizara katika kutatua kero za maji kwa wananchi. Moja ya maeneo hayo ni Tanki la maji la Mshikamano ambalo ni kwaajili ya maeneo kama Mbezi, Mshikamano, Msakuzi, Machimbo, Makabe, Luguruni na Magari saba.

Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Komba amemuomba Naibu Waziri kuwa juhudi za Wizara zinazofanywa kwenye miradi ya maji ziende sambamba na ujenzi wa mifumo ya maji taka. Mhe. Komba amesema "Spidi ya miradi ya maji iende sambamba na ujenzi wa mifumo ya majitaka". Alizungumzia eneo kama Sinza kiujumla na Hospitali ya Sinza, eneo hili linaitaji sana mifumo ya majitaka.

Nae Kaimu Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Shabani Mkwanywe amesema jitihada zinaendelea kufanyika kutatua kero za maji, aliongeza kuwa kwa eneo hilo ni asilimia 40 tu ndiyo imekamirika na bado jitihada zinaendelea ili tatizo la maji limalizike kabisa.

Wananchi wa maeneo hayo pia wamepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita katika kutatua kero za maji katika maeneo yao. Wameongeza kuwa japo kuna changamoto lakini wanaimani mambo yatakuwa mazuri kwa juhudi wanazoziona zikiendelea.

Mzee Hondohondo mkazi wa maeneo hayo aneshukuru kwa miradi hiyo mikubwa ya fedha nyingi lakini amesisitiza kuwa wananchi waungiwe maji kusiwe na danadana. Sambamba na hilo amegusia Shule ya Sekondari Makabe ipatiwe maji kwani ni Shule yenye wanafunzi  wengi lakini kuna tatizo la maji.

Katika ziara hiyo Naibu Waziri amewaomba wananchi wa maeneo hayo kutunza miundombinu hiyo inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita ili idumu kizazi hadi kizazi. "Niwaombe sana wananchi, miundombinu hii itunzwe ili idumu kizazi hadi kizazi".



Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa