• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

OPERESHENI MTAA KWA MTAA KUPELEKA MTANDAO WA MAJI KATA YA KIMARA.

Posted on: October 1st, 2024

Kufuatia uwepo wa changamoto ya maji katika baadhi ya mitaa  ya kata ya Kimara ikiwemo Mtaa wa Kilungule A, B, Baruti, na eneo la Kibonde Maji,  Mkuu wa wilaya wilaya ya Ubungo Mh. Hassan Bomboko amesema ili kukabiliana na hali hiyo wataanzisha operesheni ya mtaa kwa mtaa ili kuhakikisha wanasambaza mtandao wa maji katika kata nzima.

Amesema watashirkiana na Mameneja wote wa maji wilaya ya Ubungo katika mitaa ambayo tayari mtandao huo umefika, kuhakikishamaji yanatoka huku akizitaka mamalaka za maji kuacha tabia ya kuwabambikizia bili za maji wananchi.

Bomboko amesema hayo Septemba 30, 2024 katika mkutano wa hadhara alipofika katika mtaa wa Kilungule A, B na Baruti ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya mtaa kwa mtaa, kusikiliza na kutatua kero za wananchi.

Kwa upande wake Meneja wa DAWASA Eng. Thomas Bundala amesema changamoto ya maji katika mitaa hiyo ikiwemo eneo la Kibonde maji ilitokana na changamoto mbalimbali ikiwemo ujengaji wa Bomba ambapo hadi sasa umekamilika na wananchi wataanza kupata maji kwa wakati.

Akiwa katika mtaa wa Kilungule B na Baruti , baadhi ya wananchi walibainisha uwepo wa baadhi ya changamoto kama vile Ubovu wa miundombinu ya Barabara ikiwemo ya 770 hadi Baruti, Barabara ya Cam College, Vijana road, Simanzi-Matete road ambapo meneja wa Tarura aliwahakikishia kuwa barabara zote hizo zitaanza kuchongwa na kujengwa mwezi wa 12 mwaka huu.

Pamoja na changamoto hizo, DC Bomboko amewahakikishia wananchi kuwa wanaweka mpango endelevu wa kuboresha barabara ambazo hazipo katika mpango wa Tanroads na Tarura, huku akisisitiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma na wananchi kupata taarifa sahihi kutoka kwenye ofisi zao.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ubungo Bw. Rogati Mbowe amemtakamkuu wa wilaya kuwabana viongozi wake ili wabadilike katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ili watoe huduma na kuwatendea sawa wananchi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa