• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RAIS KAUPIGA MWINGI, WATUMISHI UBUNGO WAMSHUKURU

Posted on: August 5th, 2022

Watumishi Manispaa ya Ubungo wamemshukuru Mhe. Rais wa Jamuhuli wa Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa utendaji kazi wake ikiwemo kuboresha maslahi ya watumishi wa umma kwa kipindi cha mwaka mmoja tangu aingie madarakani.

Akiongea kwa niaba ya Watumishi wa Manispaa hiyo Naomi Masangopole mbele ya waandishi wa habari leo agosti 5, 2022 na kueleza mafanikio ambayo Rais ameyafanya  kwa kipindi Cha mwaka mmoja ikiwa ni pamoja na  ongezeko la mishahara kwa watumishi wa umma, punguzo la madeni kwa upande wa mikopo ya Elimu ya juu  ambayo watumishi wengi walikua  wanadaiwa,

Watumishi wameendelea kumshukuru Rais kwa  kupandisha madaraja watumishi  ambapo kwa Manispaa ya Ubungo jumla  ya watumishi 2199 wamepandishwa madaraja ndani ya mwaka mmoja na kuleta watumishi wa  ajira mpya 68 kwa kada mbalimbali.


Pia, wamempongeza Rais kwa ongezeko la mishahara la 23.3 ambalo imelenga   kuwainua wenye viwango vya chini Cha mshahara  na kueleza  kuwa   jambo hilo ni kubwa kwani linaendelea kutengeneza usawa baina yetu na kuongeza ari ya kufanya kazi

"Sisi kama watumishi tunamuahidi mheshimiwa Rais kuendelea kuchapa kazi kwani tunamuelewa dhamira yake" waliahidi watumishi hao.

Aidha, watumishi hao wamewapongeza viongozi wa Wilaya hiyo wakiongozwa na  Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi  kwa uongozi wao makini katika kumsaidia mheshimwa Rais kutekeleleza mjukumu yake ya kuhudumia wanannchi hususani usimamizi wa miradi na ukusanyaji wa mapato.

Pia watumishi hao wametumia nafasi hiyo  kuwakumbusha watumishi wa umma, viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kushiriki katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi litakalofanyika tarehe 23.8.2022 kutokana na umuhimu wake  kwa maendeleo ya Taifa letu.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa