• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RAS DSM ATATUA CHANGAMOTO YA WAFANYABIASHARA MANZESE, ATOA MAAGIZO

Posted on: May 22nd, 2024

Kutokana na uwepo wa malalamiko ya wafanyabiashara katika Soko la Manzese kuhusiana na changamoto ya kutokulipa kwa ukamilifu ushuru wa huduma (Service Levy) na kupelekea wafanyabiashara wa soko hilo kufunga biashara zao, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Toba Nguvile amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kufanya mahesabu upya na wafanyabiashara hao na kuanza kulipa madeni kuanzia mwaka 2021.

Agizo hilo limetolewa baada ya Halmashauri kufanya zoezi la ufatiliaji wa wadaiwa sugu wa Kodi ya ushuru wa huduma (Service levy) ambapo wafanyabiashara wengi walionekana kuwa na malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.

Maelekezo hayo yametolewa Leo tarehe 22 Mei, 2024  kwenye kikao kati ya Ras, viongozi wa chama na Serikali pamoja na wafanyabiashara wa soko la  Manzese kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa ambapo Ras aliwataka wafanyabiashara kuelewa kuwa ushuru wa huduma upo kwa mujibu kwa Sheria na  mabadiliko ya Sheria hiyo yanahitaji mchakato na kuwataka kwa Sasa kuendelea kulipa ushuru huo kama Sheria inavyoelekeza.

Serikali inathamini wafanyabiashara na ndo mana inaweka Mazingira mazuri ya wafanyabiashara kwani wana mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi".amesisitiza Nguvile

Na pia Ras amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kusimamia zoezi la utoaji elimu kwa wafanyabiashara ikiwemo elimu ya mlipa Kodi  na ufafanuzi wa Sheria mbalimbali za biashara ikiwemo Sheria ya ushuru wa  huduma.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Aron Kagurumjuli amewapongeza wafanyabiashara wa Ubungo kwa kuwa wanalipa Kodi vizuri bila ya shuruti na kusema kuwa Ubungo ina jumla ya wafanyabiashara 23,000 kati yao wafanyabiashara wa kati na wadogo ni elfu 22,000 na wafanyabiashara wakubwa ni 596.

"Kwa takwimu hizi Kati ya wafanyabiashara wakubwa 596 wanaolipa ushuru wa huduma ni 563 na wasiolipa vizuri ni 33 ambao ndio wadaiwa sugu hivyo maelekezo yaliyotolewa na Ras yatazingatiwa ili kuhakikisha wote wanalipa madeni hayo" alisema hayo Kagurumjuli

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa