• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC CHALAMILA AFANYA ZIARA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WA JIMBO LA KIBAMBA

Posted on: August 13th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila amefanya ziara katika Wilaya ya Ubungo  tarehe 13/8/2024 na kuanza kutembelea jimbo la kibamba  ambapo ametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi inaojengwa katika Kata ya Kwembe na kupongeza hatua ya mradi huo unaogharimu kiasi Cha shilingi milioni 666,687,124.00 mpaka utakapokamilika ikiwa ni pamoja na ujenzi wa uzio wa nyumba hiyo ambao mpaka Sasa umekamilika kwa asilimia 100

Akikagua ujenzi wa nyumba hiyo Chalamila amepongeza Manispaa kwa kukamilisha mradi huo ambao umejengwa kwa kuzingatia viwango sahihi na amemuagiza mhandisi kusimamia hatua za mwisho za mradi huo zilizobakia kwa haraka  ili Mkurugenzi aweze kuingia

Na pia RC Chalamila  ametembelea ujenzi wa barabara inayojengwa na Tanroads yenye urefu wa km 3 kuanzia Goba njia nne mpaka Temboni pamoja na matengenezo ya barabara ya changarawe toka matosa kanisani - Temboni  ambayo itaenda kutumika hadi miaka 20 ijayo kwani imejengwa kwa viwango na mpaka Sasa mradi umefikia kwa asilima 12

Ameagiza Tanroads kuhakikisha wanakamilisha mradi huo ambao wananchi wa maeneo hayo wataenda kunufaika nao na kuwaagiza LATRA kuanza kuandaa daladala ambazo zitaenda kupita katika njia hiyo na kurahisisha usafiri kwa wakazi wa maeneo hayo

"barabara hii inaenda  kuondoa changamoto ya msongamano wa magari niwapongeze Tanroads  na niwatake kufanya haraka mradi huu ukamilike" alisema hayo Chalamila

Na pia ametembelea katika Mradi wa  kuongeza msukumo wa maji  kwa wakazi wa  Kata ya kwembe, msigani na King'azi  uliogharimu kiasi Cha shilingi milioni 257,000,000.00  ambao unatekelezwa kwa mapato ya ndani ya Dawasa

Mradi huo una uwezo wa kunufaisha wananchi 6000 wa maeneo ya malamba mawili, kwembe, King'azi B, Njeteni, Tawalani na Kwembe

Baada ya ziara hiyo Rc Chalamila amefanya mkutano wa hadhara katika eneo la Makuti katika Kata ya msigani na kuongea na wananchi wa Kata zote za jimbo la Kibamba pamoja na kutatua kero na changamoto za wakazi hao

Ikumbukwe kuwa ziara ya RC Albert Chalamila ni ya siku mbili ambapo kesho tarehe 13/8/2024 atamalizia jimbo la Ubungo

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa