• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC CHALAMILA AIPONGEZA UBUNGO KWA KUPATA HATI SAFI

Posted on: June 26th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa kupata Hati safi  kwa kipindi Cha mwaka wa fedha 2022/2023 ikiwa ni mara ya tano mfululizo kuanzia mwaka wa fedha 2018/2019 katika  Baraza maalum la kupokea taarifa za mkaguzi Mkuu na mdhibiti wa hesabu za Serikali  lililofanyika Leo tarehe 26/6/2024  katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Ubungo

Akipongeza Mhe. Chalamila amesema kuwa kupata Hati safi kwa mfululizo inaonyesha namna watendaji  na Baraza la madiwani wanavyofanya kazi kwa ushirikiano 

Chalamila ameendelea kusisitiza hoja ziwe zinajibiwa na kuacha kuzalisha hoja ambazo zinaweza kusimamiwa na  kuzuiliwa 

Na pia Chalamila ameendelea kwa  kuipongeze kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Ubungo kwa kuendelea kuimarisha hali ya ulinzi na usalama kwa Wilaya hiyo

"Nimpongeze Mstahiki Meya kwa kuendelea kusimamia vyema Halmashauri na kufanikiwa kupata HATI safi kwa mara tano mfululizo" alisema Chalamila 

Akisoma taarifa ya ripoti ya  fedha kwa mwaka wa fedha 2022/2023 mweka hazina wa Manispaa ya Ubungo Revocatus Mohabe amesema kuwa, kulikua na jumla ya hoja 181 kutoka  mwaka  wa fedha 2018/2019  mpaka  mwaka wa fedha 2023 ambapo jumla ya hoja 139 zimeshafanyiwa kazi na zimeshafungwa na 42 zilizobaki zinaendelea kufanyiwa kazi 

Nae, Mwakilishi wa CAG Ndg. Nestori Karia Amesema kuwa, ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa kuendelea kupata HATI safi kwa miaka mitano mfululizo na kuwataka Ubungo kuzuia hoja kuendelea kujitokeza ili kuendelea kupata Hati safi.

Aidha, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hassan bomboko  amesema kuwa hali ya usalama kwa Wilaya ya Ubungo ipo vizuri na katika swala la uchaguzi katika majimbo yote yanaendelea vizuri 

Aliendelea na kusema kuwa, Kero za wananchi zinaendelea kusikilizwa na kutatuliwa na kumuahidi Mkuu wa Mkoa kuendelea kusimamia vyema wananchi wa Ubungo na kumuomba kuja Ubungo kusikiliza kero za wananchi.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa