• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC CHALAMILA AIPONGEZA UBUNGO KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

Posted on: February 23rd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Manispaa hiyo.

Pongezi hizo amezitoa leo wakati akizindua Shule mpya ya Msingi iitwayo Goba Mpakani iliyopo Kata ya Goba ndani ya Manispaa hiyo ambayo imeshaanza kutumika ikiwa na idadi ya wanafunzi 1,260 kati yao 604 ni wasichana huku wavulana wakiwa ni 656.

Mhe. Chalamila amewataka walimu wa Shule hiyo kuongeza jitihada za ufundishaji na kutochangisha michango isiyo na tija ambayo inaleta kero kwa wananchi.

Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Mwl. Mhana amesema ujenzi wa Shule hiyo umegharimu Shilingi Milioni 597.8 kati ya hizo shilingi Milioni 475.3 ni fedha zilizotokana na mradi wa Boost wa lipa kulingana na matokeo huku kiasi cha shilingi Milioni 122.5 ni fedha za mapato ya ndani ya Manispaa hiyo.

Mwl. Mhana ameendelea kueleza kuwa fedha hizo zimeweza kujenga madarasa mawili ya wanafunzi wa awali, madarasa 14 ya wanafunzi wa elimu msingi, matundu 6 ya vyoo vya wanafunzi wa awali na matundu 18 ya wanafunzi elimu ya Msingi, jengo 1 la utawala, kichomea taka, matundu mawili ya vyoo vya walimu, na bembea za wanafunzi wa awali pamoja na kuweka  madawati ndani ya madarasa hayo.

Kwa upande wake Diwani wa Kata hiyo Mhe. Esther Ndoha amesema uwepo wa Shule hiyo umewezesha kupunguza adha kwa watoto ambapo hapo awali watoto walikuwa wanatumia umbali mrefu kupata elimu.

Akiwa katika Wilaya hiyo Mhe. Albert Chalamila amekagua ujenzi wa barabara ya kutoka Kibamba kwenda Mpiji Magoe yenye ukubwa wa kilomita 10 inayojengwa kwa kiwango cha lami na kukamilika kwa ujenzi wa barabara hiyo kutarahisha hali ya usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa maeneo hayo.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa