• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC CHALAMILA AISISITIZA UBUNGO KUONGEZA UBUNIFU

Posted on: January 14th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila ameitaka timu ya menejimenti ya Manispaa ya Ubungo kuwa wabunifu katika utekelezaji wa majukumu yao na hivyo kuleta matokeo chanya juu ya utoaji wa huduma kwa wananchi.

Hayo ameyasema tarehe 14/02/2024 alipokuwa kwenye kikao cha kupitisha rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa hiyo.

Mhe. Chalamila amewataka wataalamu wa Manispaa hiyo kuendelea kushirikiana vyema na kuzingatia ushauri na mapendekezo yaliyotolewa juu ya uboreshaji wa bajeti hiyo ili kuleta tija na hivyo kuweza kuzingatia vipaumbele vya wananchi.

Akiwasilisha taarifa ya rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Ndg. Andambike Kyomo Mkuu wa Idara ya Mipango na Uratibu ameeleza kuwa Manispaa hiyo katika mwaka wa fedha 2024/25 inatarajia kukusanya/kupokea na kutumia  fedha kiasi cha Tsh 134,862,304,240.00 makisio haya ni sawa na ongezeko la asilimia 16.6 ukilinganisha na bajeti ya mwaka 2023/2024.

Kati ya fedha hizo Tsh.93,495,304,240.00 ni Ruzuku kutoka Serikali Kuu, Tsh. 41,367,000,000.00 ni fedha za makusanyo ya ndani ya Halmashauri,  na Tsh. 771,399,000.00 ni Michango ya wanachi Bajeti hii ya mwaka 2024/25 inaongzeko la asilimia 15.4 ukilinganisa na bajeti ya mwaka 2023/24.

Kyomo ameendelea kueleza kuwa Shilingi 41,367,000,000.00 ambazo ni fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri zinajumuisha kiasi cha Shilingi 21,870,348,300.00 kuwa ni fedha za matumizi mengineyo na shilingi 18,725,252,700.00 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo huku shilingi 771,399,000.00 zikiwa ni nguvu za wananchi.

Sambamba na hayo Kyomo ameeleza kuwa katika bajeti hiyo Manispaa ya Ubungo imependekeza maeneo matano ya vipaumbele yatakayozingatiwa ikiwemo Kuboresha makusanyo ya mapato ya ndani, Kuboresha huduma za kijamii katika sekta ya Afya na Elimu, Kuboresha miundombinu ya barabara, Kuimarisha utawala bora na Kuimarisha usimamizi, ufuatiliaji na utoaji taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Hashimu Komba amesema Manispaa hiyo ipo tayari kufanyia kazi maboresho yote yaliyotolewa juu ya bajeti hiyo

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa