• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC CHALAMILA AZINDUA MPANGO WA UJENZI WA HOSTELI DAR ES SALAAM

Posted on: January 19th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila  Januari 19, 2024 amezindua  Mpango wa Ujenzi wa (Hostel) Daharia Jijini Dar es Salaam ambapo amesema mpango huo utaanza na Hostel za kike zitakazojengwa kila Wilaya na kusisitiza kuwa kwa kufanya hivyo Mkoa utakuwa umeunga mkono Juhudi za Serikali za Kuboresha Miundombinu ya Elimu Nchini

Hata hivyo, Mhe. Chalamila ametumia muda mwingi kuwaasa Walimu kuwa wamebeba hatma za wanafunzi Wao hivyo wanapaswa kuwasaidia katika kutimiza ndoto zao kwa kutokuwa wakali Bali kuwajengea uwezo wa kuwa wabunifu katika Mambo mbalimbali

Vile vile, RC Chalamila ametoa Maelekezo Saba kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi yakiwemo Kuanza ujenzi wa Hosteli hizo, kufanya "fund raising" ya kupata fedha au vifaa vya ujenzi, kuongeza fedha katika ujenzi huo, kila Halmashauri ichore ramani yake yenyewe, Wakuu wa Wilaya kuunda timu ya kufuatilia CSR, Mkoa kufanya " Fund Raising kubwa na wadau wote wa Bia kuunga mkono Mpango huo kwa kuchangia 

Aidhaa, Mkuu wa Mkoa ametumia nafasi hiyo kuwashukuru Wadau Wa Elimu waliounga mkono mpango huo wakiwemo TCRA, ALAF, TPA, BAKHRESA GROUP,  MO DEWJI FOUNDATION, NMB, PEPSI, CRDB, na  NBC

Kwa upande wake RAS Bi. Rehema Madenge amesema ujenzi wa Hosteli hizo ni muhimu mno kwa wanafunzi hasa katika Jiji la Dar es Salaam kwani usafiri wake huwa ni wa shida Hali inayopelekea wanafunzi kutumia muda mwingi barabarani hivyo kukosa muda wa kusoma na kupumzika hivyo uwepo wa Hosteli hizi utawafanya kupumzika, kusoma na kuongeza pia ufaulu

Nao Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wamepongeza jitihada hizi za Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam na kukili kupokea maagizo yote yaliyotolewa tayari kwa utekelezaji

*Ikumbukwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan hapendi kumuona mtoto wa kike akikatisha masomo yake na  ndio maana amewarejesha wote mashuleni*















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa