• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC KUNENGE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI UBUNGO, ATAKA JANUARI 2021 IANZE KUTUMIKA

Posted on: November 24th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Aboubakar Kunenge  akiongozana na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali,leo tarehe 24 Novemba, 2020 amefanya  ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Manispaa ya  Ubungo ikiwemo ujenzi wa Hosipitali ya Wilaya na jengo la Utawala na kuagiza miradi hiyo kukamilika kwa wakati ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Moja ya majengo ya mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ubungo inayojengwa Kimara Baruti.

 Kunenge ameyasema hayo baada ya kukagua na kuridhika na hatua ya utekelezaji wa miradi hiyo, ambapo mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya umefikia asilimia 60 ya utekelezaji huku jengo la utawala likiwa asilimia 85


Kunenge ameendelea kusema kuwa ,Miradi hiyo ni Kati ya miradi mkakati inayotekelezwa nchini inayolenga  kusogeza karibu huduma kwa wananchi.

RC Kunenge wa pili kushoto akitoa maelekezo wakati wa ukaguzi wa Jengo la Utalawa la Manispaa ya Ubungo eneo la Ruguruni Leo tarehe 24 Novemba, 2020


Kunenge ameeleza kuwa "Hospitali ya wilaya ikikamilika itawasaidia wananchi wa Ubungo kupata huduma za afya badala ya kwenda kituo cha afya Sinza, Kwa upande wa jengo la utawala la Manispaa itapunguza adha Kwa wananchi kupata huduma katika maaeneo tofauti hali iliyosababishwa na ukosefu wa jengo la ofisi linaloweza kutosha idara zote"


Kutokana na umuhimu huo, Kunenge ameagiza miradi hiyo kukamilika Kwa wakati ambapo Kwa mradi wa  Hospitali ya Wilaya ya Ubungo  unaojengwa na SUMA JKT kwa gharama ya shilingi bilioni 1.75 ameagiza ukabidhiwe januari 8, 2021 Kama mkataba unavyoelekeza ili wananchi waanze kupata huduma.


"Ifikapo januari 30,2021 naagiza idara zote za  Manispaa wa Ubungo ziwe zinatoa huduma Kwa wananchi katika jengo hili jipya la utawala" amesisitiza Kunenge


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare  Makori  ameahidi kuendelea kusimamia miradi hiyo ili ikamilike Kwa wakati na kuanza kutoa huduma Kama Serikali ilivyokusudia

Meneja wa mradi wa UJENZI wa hospiatali ya wilaya ya Ubungo Nuru Liyau (alivaa blauzi ya kitenge)  akitoa maelezo ya utekelezaji wa Mradi huo kwa RC Kunenge


Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe. Kitilya Mkumbo amesema, ujenzi wa hospitali ni Kati ya vipaumbele ambavyo aliahidi Kwa wananchi hivyo kukamilika kwake ni utekelezaji wa ahadi hiyo ambayo inaelezwa kwenye ilani ya chama cha Mapinduzi.


"Nawapongeza Manispaa ya Ubungo kwa usimamizi mzuri wa miradi kwani inajengwa Kwa viwango na Kwa wakati" anasema Mhe Mkumbo


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa