• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC MAKALLA AIPONGEZA UBUNGO KUWA WA KWANZA KIMKOA KUKAMILISHA UJENZI WA MADARASA

Posted on: January 5th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Amos Makalla ameipongeza Wilaya ya Ubungo kwa kuwa wa kwanza kukamilisha Ujenzi wa madarasa 151 kwa shule 21 ikiwa ni maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato Cha kwanza  kwa Mwaka 2022 na kuingia rasmi  tarehe 17.1.2022 katika madarasa hayo  yakiwa yamekamilika

Makalla ameyasema hayo Leo tarehe 5.1.2022 alipotembelea Ujenzi wa madarasa katika  shule ya sekondari ya Makabe iliyopo Kata ya Mbezi yenye madarasa 20  yaliyokamilika na ni shule mpya inayoenda kupokea wanafunzi kwa awamu ya kwanza waliofaulu kujiunga na kidato Cha kwanza  Mwaka 2022

Aidha Makalla amemshukuru  Mheshimiwa rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani kwa mgao wa fedha za mpango wa Taifa kwaajili ya Mapambano Dhidi ya Uviko-19 ambazo zimeenda kuboresha sekta ya elimu na kupunguza changamoto ya uchache wa madarasa kwa wananfunzi wanaojiunga kidato Cha kwanza

Makalla amewapongea viongozi akiwemo mkuu wa Wilaya , Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo na mstahiki meya kwa kusimamia utekelezaji wa miradi hiyo kwa uweledi

Nae Mwenyekiti wa chama mkoa Kate Kamba amewahasa wananchi kujitokeza kwa wingi kuchanja chanjo ya Uviko-19 ilikujikinga na ugonjwa huo

Napia ametoa pongezi zake kwa Uongozi wa Wilaya ya Ubungo kwa kuonyesha umahili na uweledi kwa kusimamia mradi kuwa wenye ubora na viwango

Alikadhalika Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kheri James amemshukuru Makalla kwa ujio wake na pongezi alizotoa  na kuahidi kuendelea kusimamia na kutekeleza  majukumu yote  kwa ufasaha

Sambamba na hayo mwananchi wa eneo hilo ambaye pia ni mjumbe Bi. Mwantumu Ramadhani amemshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani kwaajili ya fedha zilizotolewa kwaajili ya Ujenzi wa madarasa  kwani shule hiyo inaenda kuwa msaada mkubwa kwa wakazi wa Makabe na kata ya mbezi kwa ujumla


 

Ujenzi wa madarasa hayo yametokana na fedha za mgao wa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko-19 ambapo katika mgao huo Manispaa ya Ubungo ilipokea bilioni 3.02 kwaajili ya Ujenzi wa madarasa 151 kwa shule 21

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa