• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC MAKALLA AIPONGEZA UBUNGO KWA UJENZI VYUMBA VYA MADARASA

Posted on: December 14th, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Amos Makalla ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwajuhudi za ukamilishaji wa mradi wa ujenzi wavyumba madarasa 81 ikiwa ni maandalizi yakuwapokea wanafunzi 15,008 wakiwemowasichana 7,632 na wavulana 7,376 wa kidatocha kwanza kwa mwaka 2023.

 

Amezitoa Pongezi hizo wakati wa ziara ya kikaziya kukagua utekelezaji wa mradi wa madarasakatika Manispaa hiyo lengo ikiwa ni kuhakikishamiradi hiyo inatekelezeka kwa ufanisi nakukamilika kwa wakati ambapo ameridhishwa nakasi na kiwango cha ubora katika utekelezaji wamradi huo 


Makalla alieleza kuwa, Mkoa wa Dar es Salaam umepokea shilingi Bilioni 12.3 kwa ajili ya ujenziwa vyumba vya madarasa 618 mkoani humoambapo Manispaa ya Ubungo ilipokea shilingiBilioni 1.62 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 81 vyamadarasa kwenye shule 10 za Sekondari zaManispaa hiyo.



“Hakika bila kupepesa macho Ubungo mmefanyavizuri kwenye utekelezaji wa mradi huu, na nidhahili madarasa haya yatakamilika kwa wakatikama mlivyofanya kwenye madarasa ya Uviko” Alisema Mhe. Makalla.

Pamoja na pongezi hizo , Makalla amemtakaBeatriceDominic Mkurugenzi wa ManispaaUbungo kuhakikisha maeneo yote ya shuleyanapimwa na kuwa na hati miliki ya ardhi pamojana kuwekewa uzio ili kukabailiana na changamotoya uvamizi wa maeneo hayo. Aidha wananchiwametakiwa kulinda miundombinu yote ya shuleili shule hizo zibaki katika ubora wake nakutumika kwa muda mrefu.




“Wananchi na Wenyeviti wa Mitaa lindeni mipakaya Shule zilizopo kwenye maeneo yenu ilikuepuka uvamizi wa maeneo ya Shule hizo” alisisitiza Makalla.

Kwa upande wake Beatrice Dominic Mkurugenziwa Manispaa hiyo amesema katika utekelezaji wamradi wa madarasa hayo madarasa 27 yameshakamilika na madarasa 54 yako kwenyehatua ya ukamirishaji ambapo hadi kufikia tarehe25 Disemba, 2022 madarasa yote yatakuwayamekamirika yakiwa na viti na meza zawanafunzi.

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilipokeakiasi cha shilingi Bilioni 2.62 kwa ajili ya ujenzi wavyumba vya madarasa 81 katika shule 10 zilizokuwa na upungufu wa madarasa kwa ajili yakupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza kwamwaka wa masomo 2023.  



Kwa mwaka 2023 Manispaa ya Ubungo inatarajiakupokea idadi ya wanafunzi 15,008 wakiwemowasichana 7,632 na wavulana 7,376 wa kidatocha kwanza ambao watakuwa na uhakika wakusoma wakiwa madarasani kwani Rais waawamu ya sita Mheshimiwa Dkt. Samia SuluhuHassan ameendelea kuboresha vya kutoshamiundombinu ya elimu kwa maslahi ya wananchiwa Tanzania.




Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa