• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC MAKALLA ARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA MIRADI, UKUSANYAJI WA MAPATO UBUNGO

Posted on: July 23rd, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Amos Makalla ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa usimamizi mzuri na wenye tija wa fedha za serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo inayolenga kuboresha utoaji wa  huduma kwa wananchi.

Mhe. Makalla ametoa pongezi hizo leo julai 23, 2021 kwenye hafla ya uwekaji jiwe la msingi kwenye jengo la utawala la Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa jengo hilo ni zuri sana na la kisasa hivyo watumishi wanawajibu wa kuhakikisha wanatoa huduma bora ili wananchi waridhike na kuipenda serikali yao.

Makalla amesema kuwa , amefungua mradi mkubwa kabisa wa jengo la utawala wa ofisi za manispaa hiyo ambao utatumia takribani bilioni 6.26 hadi kukamilika kwake ambapo kati ya fedha hizo shilingi bilioni 1.99 ni za mapato ya ndani huku shilingi bilioni 4.3 zikitoka serikali kuu.

Mhe. Makalla ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa ukusanyaji mzuri wa mapato ya ndani hali inayowafanya waweze kutekeleza miradi mikubwa kwa kutumia mapato yake ya ndani.

Aidha, ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa maamuzi ya kutumia mfumo wa mafundi wenyeji yaani “Force Akaunti” baada ya  kuvunja mkataba na mkandarasi alipewa kujenga jengo hilo kusuasua lengo ikiwa ni kuhakikisha miradi ya Serikali inakamilika kwa wakati na kwa viwango lakini pia kuhakikisha fedha ya serikali inatumika vizuri zaidi.

Mhe. Makalla ametumia wasaa huo kuipongeza Manispaa ya Ubungo katika kupambana na ugonjwa wa COVID 19 ambapo Watumishi wanachukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono kwa maji tiririka hali hii inazingatiwa kwa kiasi kikubwa,  utoaji wa elimu kwa umma hasa kwenye maeneo yenye mikusanyiko ikiwemo Kituo Kikuu cha Mabasi.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo, Mhe Jaffary Nyaigesha amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kuweka jiwe la msingi katika mradi huo na kuahidi kuendelea kusimamia utekelezaji wa miradi na ukusanyaji wa mapato bila kusababisha kero kwa walipa kodi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Beatrice R. Dominic  ameishukuru Serikali ya awamu ya Tano na awamu ya Sita kwa kutoa eneo na fedha za kujenga jengo la ofisi  na kusema kuwa jengo hilo lenye sakafu nne linauwezo wa kubeba watumishi 450 kwa wakati mmoja hali ambayo inarahisisha utendaji kazi katika kutoa huduma bora kwa wananchi.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa