• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC MAKALLA ATOA TAHADHARI YA CORONA

Posted on: June 24th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amewataka wananchi wa Mkoa huo kuchukua  tahadhali  ya ugonjwa wa CORONA kutokana na uwepo wa  awamu ya tatu ya mlipuko wa  ugonjwa huo  Duniani na nchi jirani za Afrika.

Tamko hilo amelitoa mbele ya waandishi wa habari  na viongozi wa Mkoa huo leo juni 24,2021 kwenye Mkutano  uliofanyika  katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa kutokana na uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa huo ni vema watu wakaanza kuchukua tahadhari kama awali ili kuzuia maambuki ya ugonjwa huo

Aidha alisema kuwa "Kutokana na mwingiliano mkubwa uliopo Kati ya Mkoa wetu na  mikoa mingine na nchi jirani napenda kuchukua Fursa hii kutoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam kuchukua tahadhari ya kujinga na maambukizi ya Corona"

Aliendelea kusisitiza Wananchi kuvaa barakoa kila wakati kwenye mikusanyiko ya watu wengi ikiwemo kwenye vyombo vya usafiri, sokoni, kwenye sherehe madarasani na maeneo mengine.


"Unawaji wa mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono, kufunika midomo na pua wakati wa kupiga chafya na kuzingatia umbali wa mita moja kati ya mtu na mtu  ni Kati ya hatua za tahadhari zinazopaswa kuzingatiwa na wananchi ili kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo" Aliongeza Makalla

Pia alisisitiza kuwa  wazee ambao tunaishi nao na wale ambao Wana maradhi ya kudumu Kama kisukari, ukimwi n.k tunapaswa kuwakinga ili wasiweze kupatwa na ugonjwa huu. Alisema  Makalla

"Mambo ya kuzingatiwa ni ulaji wa mlo kamili, utumiaji wa matunda na kufanya mazoezi" Aliongeza Makalla

Naomba nisinukuliwe vibaya sijasema mtu asifanye kazi nimeagiza tahadhali kuchukuliwa na si vinginevyo. Alisisitiza  Makalla

Alikadhalika aliwaagiza wakurugenzi, wakuu wa wilaya, wakuu wa taasisi za umma na binafsi na vyombo vya ukinzi na usalama kuhakikisha wanasimama ipasavyo maagizo hayo .





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa