• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

TAKUKURU UBUNGO YAFANYA KIKAO NA BODABODA

Posted on: February 28th, 2025

Taasisiya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imeendelea kutoa mafunzo mbalimbali kwa chama cha waendesha bajaji na bodaboda kwa Manispaa ya Ubungo

Mafunzo hayo yameongozwa na mkuu wa TAKUKURU wilaya ya Ubungo Devotha Mihayo katika ukumbi wa Stazia mapema Leo Februari 26, 2025 na kuhudhuriwa na mtendaji kata ya Msigani, afisa maendeleo ya Jamii Msigani, maafisa biashara, viongozi wa chama cha Bajaji na bodaboda pamoja na wanachama wao

Mihayo ametumia jukwaa Hilo la maafisa usafirishaji wa kata ya Msigani kuwasisitiza juu ya umuhimu wa kufanya shughuli za kwa kufuata kanuni na taratibu za serikali, kujiepusha na vitendo vya Rushwa, kujali Afya zao pamoja na kuchangia mapato ya Halmashauri

"Maafisa usafirishaji mnalo jukumu la kujiunga vikundi ili serikali iweze kuwawezeshe kwenye shughuli zenu huku mkihakikisha mnajalinafya zenu kwa kuwa na bima za Afya" alisema mihayo

Awali meneja wa chanzo cha maegesho Manispaa ya Ubungo Pascal Peter amewataka maafisa usafirishaji  hao kuhakikisha wanalipia ada zao za maegesho ili kuwa na sifa zote za kupata fursa mbalimbali ikiwemo fursa kubwa ya mikopo.

Vigezo vya kikundi kupata usajili wa maegesho ya kikundi ni pamoja na kuwa na tin namba ya kikundi, katiba ya kikundi, barua ya kuomba usajili, kikundi kuwa na uongozi pamoja na sare. Aidha, ada ya Kila mwanachama katika kikundi ni shilingi 30,000 kwa mwaka

Nae afisa maendeleo kata ya Msigani Belia Benjamin ameeleza namna ya kupata MIKOPO ya asilimia 10% isiyo na riba ni kujiunga katika vikundi vya watu watano mpaka 30, kuwa na katiba, vitambulisho vya NIDA pamoja na usajili wa vikundi vyao ili kuwa tayari kupata mikopo hiyo

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa