• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

TAKUKURU UBUNGO YATOA ELIMU YA RUSHWA KWA WALEMAVU

Posted on: October 28th, 2025

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU wilaya ya Ubungo, Oktoba 28, 2025 imekutana na kundi la walemavu na kuwapatia  elimu ya kukabiliana na vitendo vya rushwa katika shughuli zao wanazofanya Kila siku.

Kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Takukuru wilaya ya Ubungo, Dar Es Salaam, kimekutanisha aina mbalimbali za walemavu ikiwemo walemavu wa kutokuona, walemavu wa ngozi, walemavu wa kutokusikia pamoja na walemavu wa viungo

Akifungua mafunzo hayo mkuu wa TAKUKURU wilaya ya Ubungo Bi. Devotha Mihayo ameeleza kuwa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Ina majukumu mengi ikiwemo kuzuia, kupambana pamoja kutoa elimu ya rushwa kwa wananchi, hivo Leo hii imekuwa ni zamu ya kundi la walemavu hao kama Moja ya makundi muhimu katika jamii ambayo hukumbana na changamoto kadhaa za upataji huduma za kijamii

Ameongeza kuwa kama ilivyo kaulimbiu ya TAKUKURU ya "Kuzuia Rushwa ni jukumu lako na langu, tutimize wajibu wetu" inatoa nafasi ya Kila Mmoja wetu ikiwemo ndugu zetu walemavu Kushiriki jitihada hizo kwa kutokutoa au kupokea rushwa lakini pia kutoa taarifa popote atakapoona au kusikia viashiria vyovyote vya rushwa katika jamii zao










Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • BENKI YA DUNIA YAKAGUA MIRADI YA DMDP UBUNGO

    November 18, 2025
  • MABINTI WAASWA KUJIWEKEA MALENGO NA KUJITUMA ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

    November 15, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 14, 2025
  • UBUNGO YAKABIDHIWA MICHE 200 YA MIANZI KUTOKA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO

    November 13, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa