• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

TAMISEMI, BENKI YA DUNIA WATEMBELEA MIRADI YA AFYA UBUNGO MANISPAA

Posted on: March 20th, 2023



Timu ya wataalamu kutoka benki ya dunia, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Manispaa ya Ubungo leo wametembelea shule mpya ya bweni ya wasichana ya Mkoa wa Dar es Salaam inayojengwa mtaa wa Njeteni katika Kata ya Kwembe Manispaa ya Ubungo.


Shule hiyo ambayo ujenzi wake ulianza mwezi Mei mwaka jana 2022 na unategemewa kukamilika mwezi Aprili 2023, hadi sasa umefikia hatua nzuri na ujenzi wake bado unaendelea. Ambapo sehem kubwa ya ujenzi wa shule hiyo umekamilika, Madarasa, Maabara na Mabweni ujenzi wake umekamilika na pia baadhi Nyumba za Walimu zimekamilika. Huku bwalo la chakula na jengo la utawala ujenzi wake ukiwa bado unaendela.


Wakati huo huo timu hiyo imetembelea shule ya Msingi Kibamba iliyopo kata ya Kibamba ili kujionea eneo lililopendekezwa kwaajili ya ujenzi wa shule mpya ya Msingi. Hii ni kutokana na msongamano mkubwa wa Wanafunzi Darasani katika Shule hiyo, ambapo Darasa moja linakuwa na Wanafunzi 100 hadi 120.

Akilizungumzia hilo Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Maulid Abdul amesema "msongamamo huo unatokana na kuhama makazi kutoka mjini kuja pembezoni mwa mji na hii kutokana na maeneo mengi ya mjini kwasasa kuwa ni maeneo ya kibiashara"

Timu hiyo pia iliweza kutembelea shule ya Sekondari Msakuzi iliyopo kata ya Mbezi Manispaa ya Ubungo ambayo ni shule mpya. Shule hiyo kwa kiasi kikubwa ujenzi wake umekamilika na wanafunzi wapo Darasani wanaendelea na masomo.

Kwasasa shule hiyo ina wanafunzi wa kidato cha kwanza tu na jumla yao ni 296


Naye Afisa elimu sekondari wa Manispaa hiyo Bw. Vosta Mgina alishukuru na kuongeza kuwa eneo ilipojengwa shule hiyo ya sekondari lilitolewa na mwananchi kama mchango wao kwa jamii ili watoto wa eneo hilo kuwapunguzia umbali kwenda shule, ambapo hapo awali ilikuwa ni changamoto sana kwa watoto wa eneo hilo. Na pia aliishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kwa jitihada anazofanya kuhakikisha watoto wa kitanzania wanapata elimu katika mazingira bora

@ortamisemi

@worldbank


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa