• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

TARURA WAAGIZWA KUFANYIA TATHIMINI BARABARA YA KWA PANYA

Posted on: February 17th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hashim Komba ameiagiza TARURA Wilaya ya Ubungo, kuifanyia tathmini Barabara ya Mtaa ya Kwa Panya yenye urefu wa km 3, iiliyopo Kata ya Mbezi katika eneo la Msumi kwa Londa, ili kupendekeza kiasi cha Fedha zitakazotumika kuikarabati kwa kipindi cha mpito, ikiwa ni kuunga mkono jitihada za wananchi walioanza kujichangisha, huku akiagiza  kuipandisha hadhi Barabara hiyo na kuwa chini ya Usimamizi wa TARURA, ili ipate bajeti ya serikali.

DC Komba ametoa maelekezo hayo baada ya kutembelea eneo hilo kujionea jitihada za wananchi hao kujichangisha Fedha Kwa ajili ya ukarabati wa Barabara hiyo ambayo haipo TARURA wala TANROADS, ambapo pamoja na kuwapongeza Wananchi hao, ameahidi kuwachangia kiasi kidogo Cha Fedha kutoka kwenye bilioni 1.8 za Halmashauri, zilizotengwa Kwa ajili ya  kurudisha miundombinu iliyoharibiwa na mvua, baada ya  kupitia mchakato kiwango kitakachopendekezwa.

Aidha amesema kuwa kutokana na muitikio mkubwa wa Wananchi katika kujichangisha Fedha za ukarabati wa Barabara za Mitaa zilizo nje ya TARURA na TANROADS, ameamua kuanzisha mpango wa 'Jenga Pamoja' utakaosaidia Ujenzi wa Barabara hizo Kwa ushirikiano wa michango ya Wananchi, Fedha za Halmashauri na Wadau mbalimbali wa maendeleo.

Aidha, amesema kupitia mpango huo, kuanzia kwenye bajeti mpya ya mwezi wa Saba, Kila Mtaa utapelekewa Milioni 35 ambazo viongozi wa Mtaa wataangalia maeneo ya kuboresha katika Barabara za ndani ya maeneo yao, Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo.

Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya huyo, Wananchi wa eneo hilo, akiwemo Bakari Mkomwa, wamesema walioanza kuchangisha wenyewe nyumba kwa nyumba, ambapo tangu mwaka 2020 wakipanga kutumia Milioni 16.5, ambapo Hadi Sasa michango taslimu imepatikana milioni 4.7, na ahadi ikiwa ni Milioni 5, Hali ambayo imepelekea kuomba Serikali iwaunge mkono kutokana na ukubwa wa gharama.

 "Tunefurahishwa sana na ujio wa Mkuu wa Wilaya na kutuunga mkono kupitia jitihada zetu tulizoanza,  Rais Samia tunasema asante, tulikuwa na changamoto kubwa kwenye Barabara ya Kwa Londa na ndiomaana tukaanzisha jitihada za kutengeneza Kwa michango, kwasababu tunapenda maendeleo

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa