• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

TATHIMINI YA NUSU MWAKA YA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA YAFANYIKA

Posted on: February 9th, 2024

Idara ya afya,Ustawi wa jamii na lishe Manispaa ya Ubungo imefanya kikao kazi Cha  tathimini ya nusu mwaka (Julai - disemba 2023 ) ya utoaji wa huduma za afya  kwa jamii  kilichofanyika katika ukumbi wa Ngome  tarehe 9 Februali,2024

Akizungumza katika kikao hicho  Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt.Tulitweni Mwinuka  amesema kuwa lengo la kufanya tathimini ni kujifunza kutoka katika vituo vingine ili kupambana zaidi na zaidi ili kufikia malengo ya mwaka ambapo kila mmoja anajukumu la kuwasilisha kazi  alizozifanya kwa kipindi Cha miezi sita

"Tuko hapa kwa pamoja ili kila mmoja ajifunze kutoka kwa mwenzie kujua kituo Fulani kinafanya nini ili kuboresha utoaji wa huduma kwa jamii " alisisitiza Mwinuka

Aliendelea kueleza kuwa, Katika vituo ambavyo bado haviko vizuri vinastahili kujifunza kupitia vituo vinavyofanya vizuri zaidi na ndo dhumuni la kufanya tathimini kwa kuwa pamoja na kuangalia namna vituo,hospitali na zahanati zinazofanya kazi kwa waledi na kuwapa motisha.

Mwinuka aliendelea kwa kupongeza  kwa ufanyaji kazi mzuri unaondelea katika vituo na kusisitiza utumiaji wa mifumo katika vituo kwani ndo njia sahihi ambayo serikali inasimamia

kila mmoja aepukane na upokeaji wa pesa mkononi, tukusanye mapato kwa kutumi mfumo  katika vituo vyetu na kusimamia mapato yasipotee. Alisisitiza Mwinuka

Nae Mwenyekiti wa bodi ya Afya Manispaa ya Ubungo Allen Sempori  ameshukuru kwa niaba ya bodi kwa kutathimini iliyofanyika ambapo vituo vimewasilisha utekelezaji wa utoaji wa huduma kwa jamii  kwa kipindi Cha miezi sita ambapo vituo vingi vimefanya vizuri.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa