• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

TIMU YA NETBALL UBUNGO YAINGIA 16 BORA, YAWA KINARA KWENYE MAKUNDI.

Posted on: October 23rd, 2023

Katika mashindano ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania ‘SHIMISEMITA’ yanayoendelea Mkoani Dodoma timu ya netball ya Manispaa ya Ubungo imefanikiwa kupita kwenye makundi na kuwa wa kwanza kwenye kundi na hivyo kufanikiwa kuingia 16 bora.

Timu hiyo imefanikiwa kupita kwenye makundi na kuwa mshindi wa kwanza na hivyo kufanikiwa kuingia kumi na sita bora, na tarehe 23/10/2023 imefanikiwa kushinda goli 21 - 9 dhidi ya timu ya Wilaya ya Ifakara katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Dodoma.

Akiongea Afisa Michezo wa Manispaa hiyo Wikansia Mwanga baada ya ushindi huo ameipongeza timu hiyo na kuwashukuru Viongozi wa Manispaa hiyo akiwemo Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kwa kuendelea kuwaunga mkono wakati wote wa mashindano hayo.

“Kiukweli tumefurahi sana kutembelewa na Viongozi wetu hii inaongeza ari kwa wachezaji kuendelea kufanya vizuri katika mashindano haya” Alisema Mwanga.

Kwa upande wake Kocha wa timu hiyo Sweetbert Magoti amesema timu hiyo imetoka kinara kwenye kundi lake na sasa inajipanga kwa ajili ya kumi na sita bora ambapo timu itacheza na mabingwa wenzao waliongia kumi na sita bora kutoka kwenye makundi mengine.

“Timu yetu imejipanga kushinda kila mechi na kurudi na kombe Ubungo kila meche kwetu ni fainali tumejipanga vya kutosha timu ina morali na hakuna majeruhi hata mmoja tumejipanga kisawa sawa hakika Ubingwa utarudi kwetu Ubungo” alisema Magoti.

Nae Kapteni wa timu hiyo Shinuna Mohamed ameeleza kuwa timu hiyo ipo tayari na itafanikiwa kupita kumi na sita bora na kucheza robo fainali, nusu fainali hadi fainali na kuibuka vinara katika mashindano hayo.






























Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa