- Mwanzo
- Kuhusu sisi
-
Utawala
- Muundo
-
Idara
- Elimu Sekondari
- Agriculture, Livestock and Fisheries
- Industry,Trade and Investments
- Planning and Coordination
- Infrastructure, Rural and Urban Development
- Pre-Primary and Primary Education
- Human Resources Management and administration
- Health, Social Welfare and Nutrition Services
- Communit Development
- Vitengo
- Sheria ndogo ndogo za Manispaa
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Miradi mbalimbali inayotekelezwa kwa Shule za Sekondari ikiwemo Shule ya Sekondari ya Kibamba madarasa 2 kwa Tsh Milioni 40, Kiluvya madarasa 8 kwa Tsh Milioni 160, Matosa madarasa 7 Milioni 140, Mbezi Luis madarasa 22 milioni 440, Temboni Government madarasa 9 kwa Tsh milioni 180, Kimara madarasa 6 kwa Tsh milioni 120, Makoka madarasa 8 kwa Tsh milioni 160, Yusuph Makamba madarasa 3 kwa Tsh milioni 60, Saranga madarasa 5 kwa Tsh milioni 100, na Urafiki madarasa 11 kwa Tsh milioni 220.
Aidha, wataalamu hao wamepongeza hatua za miradi hiyo kuwataka wakandarasi wanaotekeleza miradi kukamilisha ujenzi huo kabla ya tarehe 15 Disemba 2022 na wamemshukuru Mhe Rais wa awamu ya sita kwa mgao huu unaoenda kukuza swala la elimu kwa wananchi.

