• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YATOA SEMINA KWA WAJASILIAMALI

Posted on: November 14th, 2019

Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg. James Mkumbo amefungua semina ya wajasiriamali wa Wilaya ya Ubungo iliyofanyika ukumbi wa Mbezi Luxury uliopo Mbezi.  Katibu Tawala alisema kuwa Serikali ya awamu ya tano imetoa maelekezo kwa Wilaya zote kutoa mkopo kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu na Wilaya ya Ubungo inatekeleza hilo.  Alisema lengo la mafunzo haya ni kupata elimu juu ya matumizi sahihi ya fedha hizi ambazo zinaenda kutolewa, tuzitumike kwa ajili ya kupata maendeleo kwa ufasaha kwani nia ni kila linaloenda kufanyika liwe na faida kwetu.    Pia semina hii itawawezesha wajasiriamali kufanya matumizi sahihi ya fedha hizi zinazotoka Halmashauri ili waweze kuzirejesha na vikundi vingine viweze kufaidika nazo. Wajasiriamali wengi wataweza kujua namna nzuri ya kuweka kumbukumbu zao maana mali bila daftari hupotea bila habari.    Kwa robo ya kwanza mwaka wa fedha 2019/2020 Halmashauri imetoa kiasi cha Tshs. Milioni 693,950,000 kwa vikundi 150 kutoka Kata zote 14 zinazopatikana Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo"* alisema Katibu Tawala.      Pamoja na hayo  aliwakumbusha kwamba unaporejesha vizuri mkopo ndio unavyojiongezea mwanya wa kupata zaidi wakati mwingine na dhumuni kubwa la serikali yetu ni kutoa mkopo usio na riba na hii yote ni kuwawezesha watu wote wapate kwa urahisi na muweze kurejesha, "Tufanye haya kwa kuzingatia marejesho ya mikopo hii kwani itasaidia hata kwa wengine kuweza kupata mikopo hii , turejeshe ili na wengine wanufaike pia na fedha hizi"*. Alisema Katibu Tawala.

Katibu Tawala aliiagiza Manispaa kuhakikisha inatoa fedha hizo za uwezeshaji kila robo kama sheria na taratibu zinavyotaka na aliwaasa vijana wajitokeze kwa wingi zaidi kwani inaonekana vikundi vya wanawake ndio vina uelewa mkubwa na vinafaidika zaidi.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa