• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

TUSHIRIKIANE KUKABILIANA NA MAGONJWA

Posted on: January 24th, 2024

Mapema tarehe 24 Januari, 2024 Usafi wa Mazingira Kimkoa umefanyika Wilaya ya Ubungo kata ya  Msigani eneo la stendi ya Malamba Mawili na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akiwa ni kiongozi aliyeshiriki kufanya usafi katika eneo hilo


Akiwa katika usafi Chalamila amesema kuwa, siku ya leo umefanyika usafi kwa ajili ya kukabiliana na Magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu hasa katika maeneo yenye watu mengi


Aliendelea kueleza kuwa, lengo pia ni Kuendelea kupendezesha Jiji la Dar es Salaam kwa  kusafisha maeneo yote na zoezi hilo ni endelevu.

Chalamila alieleza kuwa, Kampeni hii haihusiani na udhibiti wa maandamano yaliyoombwa na chama cha upinzani chadema bali ni kuhakikisha ushirikiano unatolewa kati ya serikali na  vyama pinzani kwa kufanya kazi kwa pamoja

"Nipongeze na kuwashukuru chama cha mapinduzi Wilaya ya Ubungo na vyama pinzani ikiwemo Chadema walioshiriki katika zoezi la usafi". Alipongeza Chalamila


Nitoe rai huu sio wakati wa kuendeleza siasa chafu na sio kuendeleza chuki na masimango ni muda wa kuishi kwa amani. Alisisitiza Chalamila


Chalamila aliendelea kusisitiza usafi kufanyika mara kwa mara na kuwataka wananchi na wafanyabiashara kuhakikisha Dar es Salaam inakuwa safi mda wote kwani  ni sehemu pekee ya biashara na kila mmoja anajukumu la kuilinda.

Niwaagize viongozi wa Wilaya akiwemo Mkuu wa wilaya, madiwani n.k kuwa wabunifu kwa kushirikiana na wafanyabiashara mara kwa mara katika kuilinda amani ya wafanyabiashara na kuongea nao ili kutatua changamoto zao

Nae, Katibu Tawala Mkoa Rehema Madenge aliwashukuru wadau mbalimbali walioshiriki katika kuchangia vifaa vitakavyotumika kufanyia usafi ambao NMB, KAMPUNI YA SIGARA, CRDB 

Mwenyekiti wa wafanyabiashara Mkoa wa Dar es Salaam Yusuph Namoto amempongeza mkuu wa mkoa kwa kushiriki kufanya usafi pamoja na  wafanyabiashara na kutoa  rai kwa wafanyabiashara kuzingatia maeneo yaliyopangwa kwaajili ya kufanyabiashara na kuhakikiaha  usafi unafanyika mara kwa mara.
















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa