• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBORESHAJI WA MASOKO UBUNGO NI KIPAUMBRLE

Posted on: September 29th, 2023

Uboreshaji stendi ya daladala katika soko la wajasiriamali la Mbezi Louis Maarufu kwa beda kwa lengo la kuvutia na kusogeza wateja karibu na soko hilo ni majibu  ya moja ya malalamikiko ya wajasiriamali wa soko hilo kwa muda mrefu.

Hayo yameelezwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu  CCM (W) ya Ubungo wakati  wa ziara ya walipotembelea na kuona utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani humo ambapo katika soko hilo Manispaa inaendelea na uboreshaji wa miundombinu ikiwemo uwekaji wa taa  na utengenezaji wa eneo la kupumzikia abiria katika stendi hiyo ili kuwa na mazingira bora kwa wateja na wafanyabiashara.

Pamoja na uboreshaji wa stendi ya daladala katika soko hilo, Manispaa pia ina mpango wa kujenga mifereji ya maji ili kuruhusu utiririshaji mzuri wa maji bila kuleta adha kwa wafanyabiashara

Akizungumza kwenye ziara hiyo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo ndugu Rogati  Mbowe amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha wamachinga wanakuwa na mazingira mazuri ya kufanyia biashara zao na hivyo kuondoka kwenye mazingira yasiyo rasmi

Mbowe amesema "Tunawapongeza kwa usimamizi mzuri  katika kuboresha masoko yetu kwani hii ni sekta yenye watu wengi katika ukuzaji wa uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla"

Akisoma taarifa ya mradi huo Afisa Mfawidhi Biashara na  Masoko wa Manispaa ndugu Geofrey Mbwama ameeleza kuwa Manispaa pia imejenga vyoo bora na  banda kwa ajili ya biashara za jumla sokoni hapo ili kuwawezesha wafanyabiashara wadogo kupata bidhaa karibu badala ya kufuata kwenye masoko ya mbali.

Mbwama ameeleza kuwa Soko hilo lina jumla ya vizimba 513 kati hivyo ni vizimba 238 tu ndo vinatumika, "hivyo maboresho haya tunaamini yatawavuta wajasiliamali kuja kufanya biashara kwatika soko hili kwani mazingira ni rafiki kwa wafanyabiashara na wateja"


Wajumbe wa Halmashauri kuu wakiwa katika stendi ya mabasi ya magufuli wakikagua mradi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa