• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO HALI NI SHWARI NA SERIKALI IPO TAYARI MUDA WOTE KUDHIBITI UHALIFU

Posted on: September 15th, 2022



Ulinzi na usalama wa Raia na mali zao ndo ajenda namba moja kwa Wilaya ya Ubungo na tayari vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea  kudhibiti na kuimarisha hali ya usalama kwa maeneo yote ya Wilaya ya Ubungo


Hayo yamezungumzwa leo Septemba 15, 2022 na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James katika kikao kazi kilichojumuisha Wenyeviti Mitaa, Watendaji wa Kata na na Mitaa wa Wilaya hiyo lengo ikiwa ni kuongelea ajenda ya Ulinzi na Usalama juu ya udhibiti wa uhalifu pamoja na suala la unyanyasaji wa kijinsia.

Kheri ameendelea kueleza kuwa  kumeibuka vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na vikundi vya vijana wadogo maarufu kama ‘panya road’ katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ambapo amesema kwa upande wa Wilaya ya Ubungo hali ni shwari na hakujaripotiwa taarifa yoyote ya vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa amani.


Aidha, Kheri ameeleza yoyote ambaye atabainika kuhusika na uhalifu kwa namna yoyote, ameagiza jeshi la polisi kukamata watu hao na kuwafikisha mahakamani kwa hatua za kisheria.


“Tukiendelea kudekeza wahalifu katika mitaa yetu Nchi itaingia matatizoni. Muhalifu akikamatwa apelekwe mahakamani haraka  ili akahukumiwe na vyombo vyetu vya kutoa maamuzi kwa mujibu wa Sheria” Alisema James.


Naye Mwenyekiti wa Mtaa wa Mpigi Magoe ndugu Said Seleman Diuchile ameeleza kuwa wao kama viongozi wapo tayari kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi juu ya utoaji taarifa za wahalifu sugu kwenye mitaa yao ili kusaidia Wananchi kuwa salama katika shughuli zao za kila siku.

Vilevile kwa upande mwingine Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya kipolisi Kimara SP Leah Ncheyeti ametoa taarifa ya kukithiri kwa vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwenye maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo ambapo wanawake na watoto wamekua wakikumbana na vitendo hivyo kwa kiasi kikubwa.


SP Leah ameendelea kueleza kuwa vitendo hivyo vimekithiri kutokana na watu wengi kunyamazia vitendo hivyo vinapotokea katika ngazi ya familia hali inayopelekea kupoteza ushahidi muhimu wa kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya sheria


#ubungoyetufahariyetu

#UbungoYaKibingwa

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa