• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO IMEWEKA MIKAKATI YA KUKUSANYA MAREJESHO YA MIKOPO YA 10%

Posted on: March 25th, 2022


Leo Machi 25, 2022 Idara ya Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Ubungo imekutana na Afisa Utumishi Mkuu wa Manispaa hiyo Selemani Kateti lengo ikiwa ni kujadili na kuweka mikakati ya kufuatilia na kupata marejesho ya mikopo isiyo na riba iliyotolewa kwa vikundi vya wajasiriamali vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu pamoja na kuwasilisha taarifa za hali ya mikopo hiyo kwa kila Kata.


Kwa kipindi cha kuanzia mwaka wa fedha 2017/2018 hadi 2021/2022 Halmashauri imetoa fedha kiasi cha Tsh Bilioni 6.7 kwa ajili ya mikopo hiyo na ambapo kufikia Machi mwaka huu  Tsh Bilioni 1.97 zimerejeshwa huku  Tsh Bilioni 4.79 zikiwa bado hazijarejeshwa.


Akitoa ufafanuzi wa fedha ambazo hazijarejeshwa, Kaimu Mkuu wa Idara ya  maendeleo ya jamii katika Manispaa hiyo Mercy Ndekeno amesema kuwa  kiasi cha shilingi Bilioni 2.1 kinadaiwa na wadaiwa sugu wa mikopo hiyo ambao walipaswa kuwa wamemaliza kurejesha.


Pamoja na kufanya ufuatiliaji wa karibu, Idara pia imeazimia kuendelea kuchukua hatua Kwa  wanavikundi wanaokaidi kurejesha mikopo hiyo kama sheria inavyoelekeza. Kufanya vikao mara kwa mara vya kujadili utekelezaji wa zoezi hilo kwa kushirikiana  na watendaji wa Kata na Mitaa.


Akiongea katika kikao hicho Afisa utumishi Mkuu wa Manispaa hiyo amewataka watumishi wa idara hiyo kufanya kazi kwa  kufuata sheria, kanuni, taratibu na miongozo katika kutimiza majukumu yao.


 Pia, Kateti amewasisitiza maafisa hao kushirikiana vyema na vingozi wote wa Kata na Mitaa ili kuongeza ufanisi katika kupata marejesho ya mikopo hiyo. Na kuvitembelea vikundi vya kata kila mara.


Kateti ameendelea kwa kuwapongeza watumishi hao kwa jinsi wanavyopambana kuhakikisha marejesho hayo yanatolewa hadi kufikia Tsh Bilioni 1.9 na kuwataka waendelee kuongeza juhudi katika kuhakikisha fedha hizo zote zinarejeshwa na kusimamia mikakati iliyowekwa pamoja na kutumia ubunifu wakuwezesha fedha hizo ziweze kurejeshwa ipaswavyo.


Pamoja na hayo Kateti amewataka walezi wanaosimamia Kata kutuma taarifa kila siku juu ya mikopo hiyo kuanzia saa 12 hadi saa 02 usiku lengo ikiwa ni ufuatiliaji wa karibu wa kujua namna vikundi hivyo vinarejesha mikopo hiyo.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa