• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO NA MAKUSANYO YA BILIONI 41 KWA MWAKA 2024/2025

Posted on: February 12th, 2024

Kwa mwaka wa fedha 2024/25 Manispaa ya Ubungo inatarajia kukusanya na kupokea fedha kiasi cha shilingi bilioni 134.8 kati ya fedha hizo shilingi bilioni 93 ni ruzuku kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 41 ni fedha za makusanyo ya ndani ya Halmashauri

Hayo yamesemwa na mkuu wa idara ya uchumi na mipango manispaa ya Ubungo Andambike Kyomo wakati akiwasilisha rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwa baraza maalumu la madiwani kwaajili ya kujadili na kupitisha mpango huo wa bajeti

"Katika kipaumbele cha kuongeza mapato, manispaa ya Ubungo imepanga kubuni, kusimamia na kuimarisha ukusanyaji wa vyanzo vya mapato ya ndani" alisema Kyomo

Akiongea katika baraza hilo mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Elias Ntiruhungwa amewataka madiwani kuwa wavumilivu na kuamini mpango huo wa bajeti ambapo utekelezaji wake utasaidia kuongeza mapato kwa manispaa hali itakayopelekea  kuongeza uwezo wa utoaji wa huduma za jamii kwa wananchi

Aidha rasimu ya mpango huo wa bajeti imejikita katika vipengele vikuu vitano ikiwemo kuboresha makusanyo ya ndani, kuboresha huduma za kijamii katika sekta ya afya na elimu, kuboresha miundombinu ya barabara, kuimarisha utawala bora pamoja na kuimarisha usimamizi, ufuatiliaji na utoaji taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo.

Akichangia katika kikao hicho diwani wa kata ya Kimara Mhe. Ismail Mvungi ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa mpango huo mzuri wa bajeti, na amesisitiza usimamizi wa dhati wa mpango huo wa bajeti ili kupatikana kwa matokeo lengwa

Kwa upande wake mstahiki meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe. Jaffery Nyaigesha amelipongeza baraza lake la madiwani kwa kuipitisha rasimu hiyo ya bajeti huku akiwataka kuendelea kuwasemea wananchi wa kata zao kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa