• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO TUMEFANIKIWA NA TUPO TAYARI KUWAPOKEA WANAFUNZI, DC KOMBA

Posted on: January 3rd, 2024

“Ili tuweze kufanikiwa kuwapokea wanafunzi wa awali, darasa la kwanza na kidato cha kwanza tunahitaji kuwa na miundombinu ya madarasa ya kutosha, matundu ya vyoo, viti na meza kwa Shule za Sekondari na madawati kwa Shule za Msingi sambamba na kuwakumbusha wazazi na walezi kuwaandaa wanafunzi kwenda Shule, na Wilaya ya Ubungo tumefanikiwa kwa hayo”


Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba leo tarehe 03/01/2024 alipokuwa kwenye ziara ya ukaguzi wa Shule za Msingi na Sekondari wilayani humo akiambatana na Kamati ya ulinzi ya Wilaya hiyo kwa lengo la kuona maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi wa darasa la awali, la kwanza na kidato cha kwanza walioandikishwa kujiunga na masomo kwa mwaka 2024.

Wanafunzi walioandikishwa kuanza masomo ya Msingi na Awali ni 12,324 huku matarajio ilikuwa ni kuandikisha wanafunzi 47,190 na jumla ya wanafunzi 10,006 wanatarajiwa kujiunga kidato cha kwanza  kwa Shule za Msingi na Sekondari kwa mwaka wa masomo 2024.


Mhe. Komba ameendelea kueleza kuwa mafanikio ya miaka nane ya uwepo wa elimu bure wazazi na walezi wamekuwa na utayari wa kupeleka watoto Shule kwa ajili ya kupata elimu na katika kuhakikisha hilo linafanikiwa Wilaya ya Ubungo imefanikiwa kujenga Shule mpya sita kati ya hizo Shule tatu za Msingi na kufanya kuwa na jumla ya Shule za Msingi za Umma 69 huku Shule tatu mpya zikiwa ni Sekondari na kupelekea kuwa na idadi ya jumla ya Shule za Sekondari 36. 

Aidha, Mhe. Komba ameeleza kuwa Manispaa ya Ubungo ipo tayari kuwapokea wanafunzi wote walichaguliwa kujiunga na Shule za Wilaya hiyo kwani tayari kuna mazingira bora na rafiki ya kujifunzia na kufundishia kwa maana ya uwepo wa miundombinu bora ya elimu na walimu hivyo ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwaandaa watoto kwa ajili ya kwenda Shule ifikapo Januari 08, 2024.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Elias Ntiruhungwa akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya fedha za mradi wa uboreshaji wa elimu Msingi ‘Boost’ kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 1 na fedha za mradi wa uboreshaji wa elimu ya Sekondari kiasi cha zaidi ya shikingi Bilioni 5.















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa