• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KIWILAYA.

Posted on: June 15th, 2022

Kuelekea kilele cha siku ya mtoto wa Afrika tarehe 16.6.2022, Manispaa ya Ubungo Leo tarehe 15.6.2022 imeadhimisha siku hiyo katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Young Counseling  Organization ( YOCO) kilochopo Malamba Mawili kwa kutoa Elimu kwa wanafunzi 120 kutoka katika shule za sekondari na msingi zilizopo katika Wilaya hiyo.

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na kauli mbiu isemayo “Tuimarishe ulinzi wa mtoto; tokomeza ukatili dhidi yake” tujiandae kuhesabiwa.

Akiongea Katibu Tawala Wilaya ya Ubungo Hanan Mohammed Bafagil amewaasa wanafunzi kuhakikisha wanapopata changamoto za ukatili wa kijinsia, manyanyaso katika familia na hata mashuleni kuwasilisha kwa wazazi au walimu wao na kuwataka Kufika ofisi ya Mkuu wa Wilaya Ili waweze kupatiwa ufumbuzi.

“ Serikali yetu ni sikivu na viongozi wako makini , tunaahidi kutoa ushirikiano bega kwa bega kila mwenye jambo linalomtatiza alifikishe mahali panapostahili ni lazima litafanyiwa kazi” Hanan aliendelea kusisitiza.
Halikadhalika amewashukuru wadau wa Asasi mbalimbali walioshiriki katika baraza la watoto wakiwemo child intimacy,right sight organization, jamii safi salama, the chosen generation na crisis revolving center
Nae mratibu wa baraza la mtoto Manispaa ya Ubungo Bupe Mwansasu ameendelea kuzitaka Asas zilizoshiriki kuendelea kujitoa na kumshukuru Mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha YOCO kwa kujitolea kutoa eneo lake kuanzia mwanzo hadi mwisho wa tukio.

Sambamba na hayo zoezi hilo limefanyika kwa kuwapa Elimu yakupambana na matukio ambayo yanawanyima haki zao za msingi, umuhimu  wa kupata  haki za watoto katika jamii, uongozi na uwajibikaji.

Aidha watoto wameelezea mahitaji yao ikiwemo kupata fursa yakusikilizwa, haki yakuendelezwa, haki yakuishi, haki kwa watoto wakike kupata nafasi yakushiriki michezo kama ilivyo kwa watoto wakiume na haki yakulindwa.

#UbungoYetuFahariYetu


Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA April 26, 2021
  • TANGAZO KWA WAMACHINGA WOTE November 20, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA

    July 01, 2022
  • MAFUNZO ELEKEZI KUHUSU UHAKIKI WA TAARIFA ZA ANWANI ZA MAKAZI YATOLEWA RASMI

    June 30, 2022
  • WAKANDARASI WA VIBAO ANWANI MAKAZI UBUNGO WAPEWA SIKU SABA

    June 28, 2022
  • MRADI WA BILIONI 69 KUNUFAISHA WANANCHI 450,000

    June 24, 2022
  • Tazama zote

Video

TIZAMA AMBAVYO WATUMISHI WA MANISPAA YA UBUNGO WANAVYOFURAHIA UTUMISHI WA UMMA.
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa