• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI KIWILAYA

Posted on: November 27th, 2021

Kuelekea kilele Cha Maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani ambayo huadhimishwa  tarehe 1, desemba kila mwaka, Manispaa ya Ubungo kwa kushirikiana na Asasi zisizo za Kiserikali ikiwemo Konga ya  Manispaa ya Ubungo imeadhimisha siku ya ukimwi  Kiwilaya katika ukumbi wa mikutano wa TGNP uliopo Mabibo na kutoa misaada kwaajili ya malezi ya watoto ikiwemo  Taulo za kike 1224, lishe kwaajili ya watoto na  malighafi ambazo vyote kwa pamoja vimegharimu  jumla ya shilingi 3,036,000 

Maadhimisho hayo yamefanyika leo tarehe 27.11.2021  yamekwenda Sambamba na Kauli mbiu ya Zingatia Usawa, Tokomeza UKIMWI,Tokomeza magonjwa ya Mlipuko

Akifungua Maadhimisho hayo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James amezishukuru Asasi  zilizo mstari wa mbele  na mapambano dhidi ya UKIMWI na kuwataka kueendelea na moyo huo huo

Aliendelea kwa kusema kuwa maambukizi ya UKIMWI hayawezi kumzuia mtu kutofanya shughuli zake za maendeleo  na pia nipendelee kuwaasa na watu wengine inapaswa  kuwa na utamaduni wa kupima Afya  ilikuweza kujua Kama umepata maambuki  na kwa wale ambao tayari wanamaambukizi waendelee kuchukua tahadhari

"Tuishi nao kwa upendo watu waliopo kwenye Jamii zetu wenye maambukizi ya UKIMWI, tuwajali na tusiwa nyanyapae" alisisitiza  hayo Kheri

Nae Mercy Ndekeno Mratibu wa kudhibiti  Ukimwi Manispaa ya Ubungo ametoa taarifa hali ya kuenea kwa VVU na UKIMWI kwa Wilaya ya Ubungo ni asilimia 2.3 ambalo kiwango kipo chini ya kiwango Cha kitaifa cha asilimia 4.7

Aliendelea kueleza huduma zinazotolewa na Halmashauri katika kusaidia kupunguza maambukizi kwa Wilaya ya Ubungo ambapo kumekuwa na huduma zinazotolewa za upimaji wa VVU kwa hiari na  ushauri nasaha   katika vituo vya Afya 42  vilivyopo katika Manispaa ya Ubungo

Na pia utoaji wa dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARVs)  katika vituo 42 ambavyo vinaendelea kutoa huduma hii

Kuratibu kamati za kudhibiti  Ukimwi za Halmashauri katika ngazi ya Halmashauri ,kata,mitaa ili ziweze kutekelezwa majukumu yake, Kutoa elimu na huduma ya matunzo kwa watumishi wanaoishi na Vvu , Kutoa elimu ya kudhibiti Ukimwi kwa  Vijana walioko mashuleni sekondari na shule za msingi


Alikadhalika kuratibu mashirika na Asasi zisizokuwa za Serikali zinazopambana  na kudhibiti maambukizi mapya VVU kwa makundi yaliyokatika Hatari kubwa ya maambukizi


Mwisho, Ndekeno ameendelea kuwashukuru Asasi  20 zinazoshirikiana na Manispaa ya Ubungo kutoka katika Kata 14  wanazoshiriki ipasavyo katika mapambano dhidi ya UKIMWI na Asasi izo   ni KONGA,TGNP,STEPS TZ,YOCO,ZITAE,Care for AIDS ,RLST,Center Against GBV n.k






Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa