• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KIWILAYA

Posted on: March 4th, 2022

Kuelekea maazimisho ya siku ya wanawake Duniani tarehe 8 Machi 2022, Manispaa a ya Ubungo leo tarehe 4 Machi 2022 wameadhimisha siku ya wanawake  duniani kiwilaya katika eneo la Manispaa lililopo Luguruni.

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na kauli mbiu ya Kizazi cha haki na usawa kwa maendeleo endelevu, tujitokeze kuhesabiwa sambamba na maazimisho hayo wanawake wa Manispaa hiyo walipata nafasi yakupata elimu mbalimbali ikiwemo elimu ya afya na uzazi, elimu ya kutunza akiba, elimu ya bima ya CHIF n.k.

Akifungua maadhimisho hayo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James amesisitiza wanawake kuendeleza uzalendo wa kuendelea kuwalinda na kuwaongoza vijana na watoto ambao wapo katika jamii zetu kwa kuhakikisha wanapewa misingi bora ya malezi.

“Mtoto wa mwenzio ni wako, kila mmoja anajukumu la kuwafundisha na kuwaongoza” alisema James .

James amesema Falsafa ya kumjali mwanamke ianzie chini kwa kuwajali vijana ambao wanachipukia kwa kuhakikisha wanapewa malezi bora ili waje kuwa kizazi chenye maadili.

Aidha James amesema Msingi wa maendeleo kwa Wilaya ya Ubungo unaletwa na wanawake, Mkurugenzi wetu ni mfano tosha, tujivunie maendeleo yetu yanayosimamiwa vyema na wanawake.

Nafasi ya mwanamke kiuchumi imeendelea kusimamiwa vyema na serikali yetu kwa kumjali Mwanamke katika nafasi mbalimbali ikiwemo uongozi, uchumi  n.k

James aliendelea kusisitiza kila mmoja kuwa Wakili wa haki na Usawa katika kupinga unyanyasaji wa kijinsia katika jamii, ofisini na hata shuleni.

Viongozi tengenezeni fursa kwa wengine ambao wangepata nafasi mbalimbali kwa kutumia vyeo vyenu ambao mpo madarakani na wanawake wengine watieni moyo viongozi wenu kwa kuwapa ushirikiano katika kuleta maendeleo.

Halikadhalika, amewashukuru  wadau mbalimbali ambao wameshiriki katika kuhakikisha maadhimisho hayo Yanafana wakiwemo TALGWU, CRDB,NMB, DSWU,WYI,HUDEF,RLST n.k

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa